Was that wrong? Mtu anakwambia njoo tuongee na anaonesha dalili kuwa yuko serious, kama wewe unakataa kwa sababu ipi? Huku kukengeuka kwa samia ni baada ya machawa kumjaza upepo na kwa vile hana personal thinking, akakengeuka.
Ndiyo maana kuna mabaraza ya kata katika ardhi kuleta maidhiano bila kufika mahakamani.........
sasa ameisha onesha her true coluors, sasa pendekeza nini kifanyike? Maandamano ndiyo njia rahisi ya kuwaweka kitimoto watawala. sasa mimi na wewe tunaogopa kufa, MBOWE afanyeje?
Jana Polisi walikataz amkutano wa Lisu, lifanya nini? Unafanya nini mbele ya polisi wauaji? hatuna ubavu wa kufa kama waknya/bangladesh, Mbowe afanyeje?