Watamsikiaje wakati zaidi ya nusu ya uongozi wa hii SACCOS walikumbia umande?Lowasa wala hakuwa na shida, aliwaambia waache uwanaharakati wao hawakumsikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamsikiaje wakati zaidi ya nusu ya uongozi wa hii SACCOS walikumbia umande?Lowasa wala hakuwa na shida, aliwaambia waache uwanaharakati wao hawakumsikia.
Mungu amemjalia akili nyingi sana ila ameshindwa kabisa kuongea bila kuropoka .SADIla ana utoto ni kama akipewa kipaza sauti anakuwa na wenge mpaka anajiingiza kwenye kundi la wasema hovyo.
Ajaribu kuongea na kufikiri Kama kiongozi basi.
Lissu ananitia wasiwasi sana