M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Nov 10, 2024 #61 christeve88 said: Lowasa wala hakuwa na shida, aliwaambia waache uwanaharakati wao hawakumsikia. Click to expand... Watamsikiaje wakati zaidi ya nusu ya uongozi wa hii SACCOS walikumbia umande?
christeve88 said: Lowasa wala hakuwa na shida, aliwaambia waache uwanaharakati wao hawakumsikia. Click to expand... Watamsikiaje wakati zaidi ya nusu ya uongozi wa hii SACCOS walikumbia umande?
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Nov 10, 2024 #62 Al Watani said: Ila ana utoto ni kama akipewa kipaza sauti anakuwa na wenge mpaka anajiingiza kwenye kundi la wasema hovyo. Ajaribu kuongea na kufikiri Kama kiongozi basi. Lissu ananitia wasiwasi sana Click to expand... Mungu amemjalia akili nyingi sana ila ameshindwa kabisa kuongea bila kuropoka .SAD
Al Watani said: Ila ana utoto ni kama akipewa kipaza sauti anakuwa na wenge mpaka anajiingiza kwenye kundi la wasema hovyo. Ajaribu kuongea na kufikiri Kama kiongozi basi. Lissu ananitia wasiwasi sana Click to expand... Mungu amemjalia akili nyingi sana ila ameshindwa kabisa kuongea bila kuropoka .SAD
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Nov 14, 2024 #63 Ila amesema kweli
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Nov 14, 2024 #64 mapigo ya LISu mapigo ya trump