Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Mungu wajalie wote wanaomkejeli akiwemo huyu wape angalau japo ya madhara kama waliomsababishia ili wajifurahiye kama wanafurahia matatizo yake. Amen
Mungu sio mwanadamu unawaza wanaotoa maoni tofauti na nini chawa wa Lisu Mungu awape adhabu! Fuuuuuu! Nyingi ndo lile kundi mlishangilia sana baada ya Magufuli kufariki mkisema Mungu fundi! Kwa hiyo huwezi kuzuia hisia na maoni ya mtu!
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Hii ni hatari sn
 
Kama Idara ya usalama wa taifa inayolalamikiwa na Lissu kumfanyia unyama yeye, akina Ben Saanane na na wengine wengi ilikuwa chini ya serikali hii hawa viongozi waliopo sasa hawahusiki?

Kwa nini alipokutana na rais Samia hakumueleza kuwawqjibisha hawa viongozi waliopo sasa na walioshiriki kufanya unyama dhidi yake na watu wengine?

Lissu sasa anakengeuka kisiasa.
Kakuangushia nyundo ya kichwa na weyeee🤔
 
Mama Samia hayupo kuhangaika na mtu mmoja, yeye kama Rais wa Nchi alishasema Nchi iko salama na ni mahali salama kwa Watanzania wote kuishi kwa amani, nini cha ziada akiongee?

Bila sababu za msingi amri halali kiutaratibu ya kumwua Lissu kama ilivyokuwa kwa kina Ben, Mawazo na wengine ilitolewa.

Tofautisha nchi kuwa salama na amri ya kumwua mtu kutolewa.

Vipi amri hiyo ilishaondolewa? Anayetoa amri kama hizo ni Sirro?
 
Ila Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.

Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
Uropkaji au anawaeleza ukweli?Najua aibu imewajaa na bado mengi yatafichuliwa tu
 
We nawe huna suluhu zaidi ya kifo unatofautigani na wasio julikana? Afe ... utakufa ndio ujinga gani!
Yaani huyo bwana mpuuzi kweli! Kwa hiyo Lisu tu ndo wakuonewa huruma? Mpuuzi kweli na inaonekana mashaki wa Lisu ni makatili na majambazi wakubwa kama saizi mtu wao kapata shida wameanza kutoa kauli za watu kufa!
 
Kwa maoni yangu, Tundu Lissu anahitaji ushauri nasaha. Binadamu ukipitia maswahibu na mapito kama aliyopitia, unaathirika ki fizikia, ki emosheni na kisaikolojia, (physical, emotional and psychological), hivyo anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kutoka kwenye jinamizi hili na kuendelea na maisha...
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.

Unamzuia Lissu asiteme Nyongo na kumtaka anyamaze je, angekuwa ni Baba yako Mzazi kafanyiwa alichofanyiwa Lissu bado ungesema ajifunze Kunyamaza? Mnafiki mkubwa Wewe.

Eti Tundu Lissu asiwe anahukumu Taasisi Nyeti bila ya Ushahidi. Yaani Wewe pamoja na Kujinasibu kuwa ni Mwanahabari Nguli nchini Tanzania umeshindwa tu kutumia Akili ndogo kujua ya kwamba hizi Taarifa zote anazosema Lissu amepewa na Watu wa System ambao hawakupenda alichofanyiwa na hawapendi Vitendo hivyo hata kama wana Kiapo chao cha Utii?

Hivi leo ndiyo mara yako ya Kwanza kusikia kuwa Idara Nyeti ya Usalama ina makandokando na kwamba inahitaji Mabadiliko? Umesahau kuwa kuna Kipindi hata baadhi ya Wabunge nao waliilalamikia hii Taasisi? Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa wale Wabunge walikurupuka ila Wewe unayewatetea ndiyo uko sahihi? Mnafiki mkubwa Wewe.

Tena ungekuwa na Akili kweli nadhani ungepongeza hizi Kauli za Tundu Lissu kwani hapa anamsaidia hata Rais Samia kuwa Idara zake Nyeti zina Matatizo, awe nazo makini na ikiwezekana azifanyie Marekebisho makubwa na ya haraka ili zisiendelee Kumharibia na Kumchafua hata Yeye pia.

Sasa ni dhahiri kuwa baada ya Kuona kila Teuzi za Rais Samia huteuliwi na badala yake wanateuliwa tu wale Waandishi wa Habari uliokuwa Ukiwadharau na hata Kuwatumikisha Kiutendaji sasa nawe umebadilika na kuanza Kujipendekeza Serikalini na katika System ili Ukumbukwe na upumzike kutupigia Kelele na Ngonjera zako hapo EA Radio na kule Star Tv katika kile Kipindi chao cha Uchambuzi wa Vyombo vya Habari.

Alichokisema Lissu hapa ni kweli 100%.
 
..kabla ya uchaguzi mkuu Lissu alifika ofisini kwa rpc wa Dodoma, hakuhojiwa.

..kipindi cha kampeni IGP Sirro alimtaka Lissu aripoti Polisi kwa kukiuka ratiba ya kampeni, badala ya kumuelekeza ni wapi akahojiwe kutokana na jaribio la kuuwawa.

..baada ya uchaguzi mkuu Lissu alikamatwa na Polisi wakampeleka central lakini hawakumhoji kuhusu kushambuliwa kwake.
Kabla ya uchaguzi alifika kufuata gari. Hakukuwa na maandalizi ya mahojiano ndugu.
Na alipokamatwa ilikuwa kwa kesi B sio kesi A. Kipi kigumu kueleweka hapo
 
Nna mashaka huyu Chiba alijipiga risasi mwenyewe ili kupata kick.

Alilalamika sana kuwa Magufuli anahusika na kushambuliwa kwake.

Sasa Magu hayupo hataki kurudi,

Akadai Makonda ndio alihusika, Makonda hayupo bado hataki kurudi.

Sasa amewarukia kina Kapilimba.

Tuzidi kumpa muda si muda mrefu utasikia ni Mbowe alihusika.

Waliopigwa risasi Nchi hii mbona ni wengi sana? Kwani yeye ni nani hasa hadi ajione very special?
 
Mimi nilishasema huyu jamaa upstairs hakuko sawa, sijui watu hawanielewi kwa nini?
Unasema unataka uhakikishiwe usalama wako ukirudi, wakati huo huo hao watakaokuhakikishia usalama wako unawakandia na kuwaita wauaji? Hivi huyu zimo kweli? #dishlimetilt
Jamaa hana nia ya kurudi, kazoea maisha ya ughaibuni na kupiga soga na akina rob amster hawezi kuwaacha aje bongo. Makamanda amkeni toka usingizini before it's too late.
Umesoma na kuelewa alichosema? Waacha awachane ukweli na siku zote ukweli unauma.
 
Umeandika

Ametaja Kikosi kazi kinachojumuisha Polisi, JWTZ na TISS,, hawa ni askari wetu, trained, how could they do such a messy dirty job?.

Mbona huku Zanzibar hao ndio vinara wa machafu mengi tu toka 1964 au unatafuta mlo kwa mama ??
Ndugu achana na huyo Hypocrite na Sycophant Mwandamizi hapa JamiiForums nzima. Anajifanya ana Akili sana wakati kumbe ni Debe tupu tu. Watu tunamtizama, tunampuumza na hata Kumsanifu vile vile.
 
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.

Unamzuia Lissu asiteme Nyongo na kumtaka anyamaze je, angekuwa ni Baba yako Mzazi kafanyiwa alichofanyiwa Lissu bado ungesema ajifunze Kunyamaza? Mnafiki mkubwa Wewe...
Duh... Kweli wewe ni empty head.

Kwahiyo Lisu akisema kitu ni ukweli na wakiongea wengine ni uongo?

Ni sehemu gani ya mwili unayotumia kufikiri?

Lisu anashida kwa ubongo ukweli lazima usemwe
 
Duh... Kweli wewe ni empty head.
Kwahiyo Lisu akisema kitu ni ukweli na wakiongea wengine ni uongo?
Ni sehemu gani ya mwili unayotumia kufikiri?
Lisu anashida kwa ubongo ukweli lazima usemwe
Umeshamaliza kutoa Povu lako / bado?
 
Narudia alichokisema Tundu Lissu ni kweli mtupu tena 100% na nawashangaa Wanafiki na Wafia Chama fulani wakijitahidi Kujitetea na Kumshutumu wakati Mioyoni mwao wanakubaliana nae.
Ni ukweli mtupu unathibitisha kwa sababu wewe ndie ulikuwa kwenye task force au kwa sababu kuna ushahidi ulioona una mamntiki
 
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.

Unamzuia Lissu asiteme Nyongo na kumtaka anyamaze je, angekuwa ni Baba yako Mzazi kafanyiwa alichofanyiwa Lissu bado ungesema ajifunze Kunyamaza? Mnafiki mkubwa Wewe...
Huyo ni sukumagang
 
Back
Top Bottom