pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hakuna ugonjwa mbaya kama utapiamlo wa akili, bora ungekaa kimya kuficha haya maradhi yako!Mlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ugonjwa mbaya kama utapiamlo wa akili, bora ungekaa kimya kuficha haya maradhi yako!Mlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam
Mungu sio mwanadamu unawaza wanaotoa maoni tofauti na nini chawa wa Lisu Mungu awape adhabu! Fuuuuuu! Nyingi ndo lile kundi mlishangilia sana baada ya Magufuli kufariki mkisema Mungu fundi! Kwa hiyo huwezi kuzuia hisia na maoni ya mtu!Mungu wajalie wote wanaomkejeli akiwemo huyu wape angalau japo ya madhara kama waliomsababishia ili wajifurahiye kama wanafurahia matatizo yake. Amen
Hii ni hatari snMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kakuangushia nyundo ya kichwa na weyeee🤔Kama Idara ya usalama wa taifa inayolalamikiwa na Lissu kumfanyia unyama yeye, akina Ben Saanane na na wengine wengi ilikuwa chini ya serikali hii hawa viongozi waliopo sasa hawahusiki?
Kwa nini alipokutana na rais Samia hakumueleza kuwawqjibisha hawa viongozi waliopo sasa na walioshiriki kufanya unyama dhidi yake na watu wengine?
Lissu sasa anakengeuka kisiasa.
Siku akipigwa baba ake ndiyo akili itakaa sawaHakuna ugonjwa mbaya kama utapiamlo wa akili, bora ungekaa kimya kuficha haya maradhi yako!
Mama Samia hayupo kuhangaika na mtu mmoja, yeye kama Rais wa Nchi alishasema Nchi iko salama na ni mahali salama kwa Watanzania wote kuishi kwa amani, nini cha ziada akiongee?
Uropkaji au anawaeleza ukweli?Najua aibu imewajaa na bado mengi yatafichuliwa tuIla Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.
Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
Yaani huyo bwana mpuuzi kweli! Kwa hiyo Lisu tu ndo wakuonewa huruma? Mpuuzi kweli na inaonekana mashaki wa Lisu ni makatili na majambazi wakubwa kama saizi mtu wao kapata shida wameanza kutoa kauli za watu kufa!We nawe huna suluhu zaidi ya kifo unatofautigani na wasio julikana? Afe ... utakufa ndio ujinga gani!
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.Kwa maoni yangu, Tundu Lissu anahitaji ushauri nasaha. Binadamu ukipitia maswahibu na mapito kama aliyopitia, unaathirika ki fizikia, ki emosheni na kisaikolojia, (physical, emotional and psychological), hivyo anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kutoka kwenye jinamizi hili na kuendelea na maisha...
Kabla ya uchaguzi alifika kufuata gari. Hakukuwa na maandalizi ya mahojiano ndugu...kabla ya uchaguzi mkuu Lissu alifika ofisini kwa rpc wa Dodoma, hakuhojiwa.
..kipindi cha kampeni IGP Sirro alimtaka Lissu aripoti Polisi kwa kukiuka ratiba ya kampeni, badala ya kumuelekeza ni wapi akahojiwe kutokana na jaribio la kuuwawa.
..baada ya uchaguzi mkuu Lissu alikamatwa na Polisi wakampeleka central lakini hawakumhoji kuhusu kushambuliwa kwake.
Umesoma na kuelewa alichosema? Waacha awachane ukweli na siku zote ukweli unauma.Mimi nilishasema huyu jamaa upstairs hakuko sawa, sijui watu hawanielewi kwa nini?
Unasema unataka uhakikishiwe usalama wako ukirudi, wakati huo huo hao watakaokuhakikishia usalama wako unawakandia na kuwaita wauaji? Hivi huyu zimo kweli? #dishlimetilt
Jamaa hana nia ya kurudi, kazoea maisha ya ughaibuni na kupiga soga na akina rob amster hawezi kuwaacha aje bongo. Makamanda amkeni toka usingizini before it's too late.
Ndugu achana na huyo Hypocrite na Sycophant Mwandamizi hapa JamiiForums nzima. Anajifanya ana Akili sana wakati kumbe ni Debe tupu tu. Watu tunamtizama, tunampuumza na hata Kumsanifu vile vile.Umeandika
Ametaja Kikosi kazi kinachojumuisha Polisi, JWTZ na TISS,, hawa ni askari wetu, trained, how could they do such a messy dirty job?.
Mbona huku Zanzibar hao ndio vinara wa machafu mengi tu toka 1964 au unatafuta mlo kwa mama ??
Narudia alichokisema Tundu Lissu ni kweli mtupu tena 100% na nawashangaa Wanafiki na Wafia Chama fulani wakijitahidi Kujitetea na Kumshutumu wakati Mioyoni mwao wanakubaliana nae.Umesoma na kuelewa alichosema? Waacha awachane ukweli na siku zote ukweli unauma.
Yeye ndiye aliyekimbilia ubalozini baada kudai amepokea simu 2 za vitisho dhidi ya maisha yakeKumbuka vizuri huyo balozi alimchukuwa wapi , wacha kupakazia
Duh... Kweli wewe ni empty head.Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.
Unamzuia Lissu asiteme Nyongo na kumtaka anyamaze je, angekuwa ni Baba yako Mzazi kafanyiwa alichofanyiwa Lissu bado ungesema ajifunze Kunyamaza? Mnafiki mkubwa Wewe...
Umeshamaliza kutoa Povu lako / bado?Duh... Kweli wewe ni empty head.
Kwahiyo Lisu akisema kitu ni ukweli na wakiongea wengine ni uongo?
Ni sehemu gani ya mwili unayotumia kufikiri?
Lisu anashida kwa ubongo ukweli lazima usemwe
Ni ukweli mtupu unathibitisha kwa sababu wewe ndie ulikuwa kwenye task force au kwa sababu kuna ushahidi ulioona una mamntikiNarudia alichokisema Tundu Lissu ni kweli mtupu tena 100% na nawashangaa Wanafiki na Wafia Chama fulani wakijitahidi Kujitetea na Kumshutumu wakati Mioyoni mwao wanakubaliana nae.
Huyo ni sukumagangHujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote.
Unamzuia Lissu asiteme Nyongo na kumtaka anyamaze je, angekuwa ni Baba yako Mzazi kafanyiwa alichofanyiwa Lissu bado ungesema ajifunze Kunyamaza? Mnafiki mkubwa Wewe...