Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Ni ukweli mtupu unathibitisha kwa sababu wewe ndie ulikuwa kwenye task force au kwa sababu kuna ushahidi ulioona una mamntiki
Nasisitiza alichokisema Tundu Lissu hapa ni Ukweli mtupu tena kwa 100% ila ukiwa Mnafiki, Zuzu na Mfia Chama Cha Mauaji kamwe huwezi Kukubaliana nae.
 
Ila Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.

Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
Orodha ya mliowatia ulemavu au kuwaua ni ndefu. mmezoea mkipiga wanakaa kimya mf. Dr Ulimboka. Sasa hii bouster ya Lissu na Mdude hamkuizoea kabisa. Ni kama wametiwa ndimu

Acha moto uwake. wauaji kutajwa unaumia?
 
Sukuma gang kazini
 
Lisu mjinga mchungaji Kipilimba mlokole alikataa kumwaga damu ya Lisu Magufuli akampiga chini na kumpa ubalozi Namibia akamtoa usalama wa taifa baada ya kugoma Kuua Lisu...
tunakubaliana sasa hii ndio ligasi ya Jiwe?
 
Swadakta! Hayawi hayawi sasa yamekuwa...asilolijua ni kama usiku na giza lakini hatimaye.

Hatimaye jina limetajwa la kiongozi wa kikosi kazi, sasa wanaanza kusutwa na nafsi.

Ghafla genge la watetezi wa wasiojulikana JF limekumbwa na kiwewe kizito!

Hatimaye, hatimaye , hatimaye...ahadi kibindoni, je kila jiwe litafunuliwa?
 
Orodha ya mliowatia ulemavu au kuwaua ni ndefu. mmezoea mkipiga wanakaa kimya mf. Dr Ulimboka. Sasa hii bouster ya Lissu na Mdude hamkuizoea kabisa. Ni kama wametiwa ndimu

Acha moto uwake. wauaji kutajwa unaumia?
Asiyekubaliana na Kuamini tena kwa 100% hiki alichokisema hapa Tundu Lissu ni Mgonjwa wa Akili wa Kiwango cha Kimataifa.
 
Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.

Kwa hakika angeweza kuuwawa.

Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
wangehitaji kumuua wala wasingehitaji risasi zote zile.
 
wangehitaji kumuua wala wasingehitaji risasi zote zile.

Kwani Hamza au Kombe risasi ngapi zilihitajika? Au hapa wewe una ona zilikuwa ni salamu tu?



Au kwa vile wewe binafsi haikukuhusu?

Acheni ubinafsi uliopitiliza hivi ndugu.
 
Kuchangiwa isiwe warrant ya kudhulumiwa.
 
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote...
Ni kweli ulichokion
Hujaacha tu kuwa Mnafiki na kujifanya una Akili na unajua Kuchambua Masuala hapa JamiiForums kuliko Watu wengine wote...
Hakika Paschal na aache unafiki uliokithiri. Aje akujibu swali la msingi hilo,

Je mbunge Bashe, Nape, na wengineo hakuwahi kuwasikia wakiwa wanalia bungeni kulalamikia hivyo vyombo nyeti vya usalama juu ya utesaji na mauaji?

Kama kweli wanasingiziwa ni lini walikwisha toka na maelezo thabiti ya kujisafisha na tuhuma hizo.

P. aache unafiki.
 
Ndiyo akina Marehemu Sheikh Yahya Hussein muuza kahawa barabarani
Shehe Yahya Husen ni mmoja wa walioifunga nchi kuzimu na kuikabidhi Tza kwa shetani.Rejea matambiko ya bagamoyo,tanga,lindi na tabora.Hatuwezi endelea hadi tufute maagano na shetani.
 
Ndugu achana na huyo Hypocrite na Sycophant Mwandamizi hapa JamiiForums nzima. Anajifanya ana Akili sana wakati kumbe ni Debe tupu tu. Watu tunamtizama, tunampuumza na hata Kumsanifu vile vile.
Kuna wajinga/watoto hapa JF wanauoma kama Baba yao kumbe ni kibaraka tu anaetafuta fursa kwa kutetea maovu ya watawala.
 
Hatimaye wasiojilina sasa washajulikana, ukishampata Kipilimba basi utakuwa ushawapata wapendwa wetu wote waliopotea ama kuumizwa kwa nyakati tofauti toka 2015 hadi 2021.

Sehemu ya kuanzia ishapatukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…