MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nasisitiza alichokisema Tundu Lissu hapa ni Ukweli mtupu tena kwa 100% ila ukiwa Mnafiki, Zuzu na Mfia Chama Cha Mauaji kamwe huwezi Kukubaliana nae.Ni ukweli mtupu unathibitisha kwa sababu wewe ndie ulikuwa kwenye task force au kwa sababu kuna ushahidi ulioona una mamntiki