Hiyo amri ya kuwaua hao uliowataja ilitolewa na nani, lini na wapi?
Maswali ya Kipumbavu kama yako huwa sina muda wa Kuyajibu.Kwamba ulikuwepo au maelezo ya Lissu ni ushahidi unajitosheleza?
Mbona hujibu swali
Lissu kapigwa risasi kila mtu anajua na yote yaliyotokea ulimwengu mzima unafahamu mapaka huyo mama samia anafahamu hayo masaibu yaliyompata kiongozi wako, Tumesikitika sana lakini sasa Lissu anasimamia wapi?? hatua tunasema hazikuchukuliwa lakini Lissu sasa anasimamia wapi?? anarudi nchini hivyo hivyo kuendeleza siasa? au kwa sababu hakuna hatua zilizochukuliwa hadi sasa Ataendelea kubaki belgium?Tatizo unadefine suala la Lissu Kichama. Lissu kalimwa Risasi halafu kaondolewa kwenye Ubunge.
Wewe jasiri sawa. Kuna mtu jasiiri Kama Lissu? Kalimwa Risasi lakini bado alirudi nchini. Kurudi baada ya matokeo wakataka kummaliza ndio kujificha ubalozini. Usipende kuona shida za wengine hazikuhusu kisa upo CCM . Kuna watu wanalia kuonewa wakati just tu Happ walikuwa juu ya sheria. Acha dharau hujui kesho yako.
Ni kawaida mtu akishindwa hoja kukimbilia matusiMaswali ya Kipumbavu kama yako huwa sina muda wa Kuyajibu.
Pumbavu ni Tusi? Ukiambiwa huna Akili ndiyo Umetukanwa? Nimeshakudharau hapa Kitambo tu.Ni kawaida mtu akishindwa hoja kukimbilia matusi
Sawa kwani ww utanifanya niniUtakuwa mmojawapo wa kikosi kazi cha mwendazake
Akubaliane na mazingira ya sasa. Sifa ya mwanasiasa ni kuwa na busara ya kukubaliana na kitu ambacho waingereza wanaita 'compromise'.Nakubaliana kwa kiasi fulani na hoja hii.
Lisu kaketi na kuongea na mama Samia huko Ubelgiji.
Anayosema Lisu hawakuyaongea?
Kama sivyo waliongea nini haswa!
Body language ya mkutano ule ni kwamba wasiojulikana sasa hawapo na waliondoka na mtangulizi wa mama Samia.
Na experience ya mwaka huu mmoja imedhihirisha hili.
Nia ya Lisu , aidha ni political capital juu ya suala lenyewe-kitu ambacho kina ukakasi, au Lisu anataka waliohusika wapelekwe mahakamani, suala ambalo ni vema likafanyika ingalau gumu kulitekeleza.
Tatizo la mindset za siasa za kitanzania ni hili hapa. Ukipishana nae mawazo basi una haki ya kutungiwa jina lolote tu ilimradi hawana vifua vya kuweza kupokea mawazo tofauti na yale waliyonayo vichwani.Sukuma gang kazini
Hana haja ya kutomuamini Samia akisema kuwa eti mazingira ya wasiojulikana kwa sasa hayapo. Rais ni bosi wa taasisi zote nchini, huna sababu ya kutomuamini ikiwa ameshaonyesha kutaka ushirikiano na wewe.Shida hapa ni uelewa wako kuwa chini. Lissu anazungumza mambo aliyoulizwa na Maria Sarungi kufuatia mahojiano mapya baina ya Rais Samia na BBC hivi karibuni, ambayo yaligusia kuhusu Tundu Lissu kurudi nchini na iwapo serikali inamhakikishia usalama wake
Wewe uko hapo uyole huwezi kuelewa chochoteHivi kwa akili yako kuna gaidi aliuawa mkuranga ?
Sasa mr belegiji anataka kuhakikishiwa usalama gani tena?..Amri ilishafutika baada ya yule shetani wenu wa chato kufutika.
Si mlisema ishu nzima ilipangwa na Makonda?Kutekelezwa na vijana wa Kipilimba ndo kunamwondoa Makonda? Pale Clouds alikwenda na watoto wake?
Lisu ni debe tupu!Orodha ya mliowatia ulemavu au kuwaua ni ndefu. mmezoea mkipiga wanakaa kimya mf. Dr Ulimboka. Sasa hii bouster ya Lissu na Mdude hamkuizoea kabisa. Ni kama wametiwa ndimu
Acha moto uwake. wauaji kutajwa unaumia?
Hukumbuki pia ile orodha ya mafisadi ambapo Lowassa alikuwemo ila mwisho wa siku Lissu huyo huyo akapanda jukwaani kumpigia debe huyo huyo Lowassa kwamba tumchague awe rais wetu?Ohooo! kusha kucha huku
Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi
Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Mkuu na wewe unajitoa ...Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Wakati huo kwenye kampeni akikuwa anapanda daladala kwenda kununua nyanya kariakoo!Yeye ndiye aliyekimbilia ubalozini baada kudai amepokea simu 2 za vitisho dhidi ya maisha yake
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Subiri 2025 ndio utajua hujuiKumbe wa buku 7 bado wanahema aisee!