Unadhani kupigwa risasi ni sawa na kuingizwa mshedede maeneo yako ya makalio? Vaa viatu vya Lissu ndio utaelewa kwa nini anasema hayo. Na ukweli ndio huoYaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huyo ni shetani wake mwenyewe na sukuma gang lake. Usituchanganye tafadhali. Pambaf.Amri ilishafutika baada ya yule shetani wenu wa chato kufutika.
Kwani wewe mwanangu mpaka niumie ukinidharauPumbavu ni Tusi? Ukiambiwa huna Akili ndiyo Umetukanwa? Nimeshakudharau hapa Kitambo tu.
Kwa namna ulivyoandika hapa inaonekana na wewe ni miongoni mwa watu waliohusika kumshambulia huyo Lissu.Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Huyo ni shetani wake mwenyewe na sukuma gang lake. Usituchanganye tafadhali. Pambaf.
Alijitolea au aliteuliwa? Na je kiapo chake kilikua na maana gani?je alikua halipwii?Mtu amejitolea uhai wake kuwalindeni ninyi na maslahi yenu, tena kwauaminifu wote, leo mnamtuhumu, hivi mnachokifanya mnakifahamu?
Mnaungana na maadui wa taifa ambao wameshindwa kulinda matamanio yao kuwavunja moyo watu ambao wapo macho masaa yote for 60 years nchi ikawa kama ilivyo?
Mungu na akawalaani ninyi kizazi chenu na wenye haiba kama zenu nyote; mipango yenu miovu ikavurugike na kusambaratika, mkawe aibu mbele ya mataifa na watanzania kwa umoja wao wakawakatae na kuwazodoa. I declare and decree in the name of the most high God, Jesus Christ of Nazareth; Mungu ambaye yeye amemtumikia kwa uaminifu wake wote. Na sasa ikadhihirike wazi kati yake na ninyi nani ni wa upande wa usaliti kwa taifa lake, Amen!
Hahaha kwahiyo wewe hapo una uzowefu na lipi kati ya hayo mawili?Unadhani kupigwa risasi ni sawa na kuingizwa mshedede maeneo yako ya makalio? Vaa viatu vya Lissu ndio utaelewa kwa nini anasema hayo. Na ukweli ndio huo
wewe ndo ulipigwa risasi?? mjinga tuHahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Rubbish.Kwani wewe mwanangu mpaka niumie ukinidharau
Pole sana ndugu sihitaji chochote toka kwako sio heshima au dharau yako... you're a nobody to me SIJALI KABISA yaan
Lissu kapigwa risasi kila mtu anajua na yote yaliyotokea ulimwengu mzima unafahamu mapaka huyo mama samia anafahamu hayo masaibu yaliyompata kiongozi wako, Tumesikitika sana lakini sasa Lissu anasimamia wapi?? hatua tunasema hazikuchukuliwa lakini Lissu sasa anasimamia wapi?? anarudi nchini hivyo hivyo kuendeleza siasa? au kwa sababu hakuna hatua zilizochukuliwa hadi sasa Ataendelea kubaki belgium?
Kwa sababu kama mwanasiasa lazima awe na msimamo thabiti kufa au kupona kama tunavyoona viongozi mbali mbali duniani wa upinzani wanavyo struggle kutoka kwenye dola tawala lakini sio kama hivi anavyofanya anawaparaganya hata hawa watu wake na chama chake,
Leo ukimuuliza msigwa vipi Lissu kaamua kukutana na mama belgium, msigwa atabaki kimya hana jibu mana si jambo walipanga kwenye chama na haikuwa ajenda ya chama, na hata ukimuuliza Heche pia ataganda kutoa majibu lakini hata huyo Lissu mwenyewe aliulizwa hivi karibuni ni kitu gani kilichompata mbowe kutoka jela akakimbilia Ikulu kwanza jibu lake alisema aulizwe mbowe mwenyewe kuna mikanganyiko na giza nene. Haikueleweka je mbowe ame-sarrenda kwa miezi 8 aliyokaa jela ameshindwa vita au kanunuliwa ili atoke jela au kapewa masharti atatolewa lakini abaki kimya kwa jambo hili na hili nk.
Chadema zamani mulikuwa munaamini Kiongozi wa upinzani akienda Ikulu kuonana na Rais mulikuwa mnasema kwa kelele ni msaliti, mara kadhaa maalim seif ameitwa msaliti ni Chadema, lakini leo chadema wenyewe na wao wanaonekana Ikulu.
Mimi ni muumini wa mabadiliko kupitia vyama vya upinzani kuiondoa CCM madarakani lakini mikanganyo imekuwa mingi sana sasa hatuji ni kiongozi gani hasa wa upinzani ni mkweli na hana chembe za usaliti, lakini nashindwa kufahamu misimamo ya viongozi hawa upinzani sasaiv, nilikuwa na matumaini sana na Chadema kwa Tanzania lakini napata shida sasa
Sidhani uko sahihi! keep on his shoes then come here to tell us your nonsenseHuyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Watu wengi wanakuita Sukuma gang kwq sababu ya hulka yako kama ya jiwe. Inaweza kuwa wewe siyo msukuma lakini ukapewa hilo jina kwa sababu ya mawazo yako finyu kama ya jiweTatizo la mindset za siasa za kitanzania ni hili hapa. Ukipishana nae mawazo basi una haki ya kutungiwa jina lolote tu ilimradi hawana vifua vya kuweza kupokea mawazo tofauti na yale waliyonayo vichwani.
Ndugu yangu, bahati mbaya maziwa yakishamwagika hayazoeleki! Wakati mwingine kukaa kimya ni busara. Ukijikuta umetumbukia kwenye dimbwi la tope, kufurukuta si busara.Mimi sio nimo, kuna vitu mimi viko kwenye damu, born and bred mumo humo.
P
Watanzania hamjui mambo mengi sansKama ni kweli Marehemu alihusika kwa kuwatumia kikosi kazi TISS na wakatimiza mauwaji hayo, basi Mungu atawalipa kwa walichokifanya.....though siko chadema na wala sina mpango wa kuwa chadema.....Nampenda mama na sio ccm....
Angepigwa risasi na mamlaka asingeweza kupona labda mamlaka uchwaraUnadhani vijiswali vyako uchwara hivi vinauondoa ukweli kuwa mamlaka ilidhamiria rasmi kabisa kumwua huyu bwana?
Kwani hata Jenerali Sabaya hukumsikia akitekeleza operations zile rasmi kabisa kwa maelekezo kutokea wapi?
NdioMkuu na wewe unajitoa ...
Asante sana kwa matusi yako mkuu Allency. Mimi ni mshubi wa Ngara sio msukuma.Watu wengi wanakuita Sukuma gang kwq sababu ya hulka yako kama ya jiwe. Inaweza kuwa wewe siyo msukuma lakini ukapewa hilo jina kwa sababu ya mawazo yako finyu kama ya jiwe
Nami nawasoma tu, wamepanic ile mbayaNaona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Kulialia hakumsaidii yeye kama mtu aliyegombea urais mwaka 2020. Alifikia hatua ya kupanda daladala wakati wa kampeni, ghafla tena anadai ahakikishiwe usalama wake!.Sidhani uko sahihi! keep on his shoes then come here to tell us your nonsense
Sikumaanisha kukutukana mkuu, samahani sana, hata pia kuna comment yangu nimekuomba msamahaAsante sana kwa matusi yako mkuu Allency. Mimi ni mshubi wa Ngara sio msukuma.
JPM alikuwa na mawazo mazuri ya kizalendo, hakutaka tuchezewe kirahisi tu. Alijivunia utanzania wake siku zote.