Mbona hajamtaja baba yako? Mwacheni aseme. Watawala walikuwa na maana yao waliokataa uchunguzi. Aseme chochote awezacho.
UKo sahihi sana, ila hili analoongea Sasa ni ukweli wa wazi, suala la kuwa sahihi kwa wote hilo utajua ww.
Hapana umekosea, Lissu huwa anaongea ukweli lakini wauaji ndio huona sio sahihi maana anawachoma mioyo yao.
Angepigwa risasi na mamlaka asingeweza kupona labda mamlaka uchwara
Nilitarajia ungeweka bayana sababu ya dereva kufichwa Ulaya kwa gharama kubwa sana na pia sababu ya watu wazima wenye wadhifa kwenye chama kuongea uongo hadharani bila aibu kwa kusema dereva anatibiwa kisaikolojiaHapo ndio unaoona umetupoteza maboya? Unadhani sisi ni watoto au mafamba na hatujui ukweli anaouzungumza Lisu.
Nilitarajia ungeweka bayana sababu ya dereva kufichwa Ulaya kwa gharama kubwa sana na pia sababu ya watu wazima wenye wadhifa kwenye chama kuongea uongo hadharani bila aibu kwa kusema dereva anatibiwa kisaikolojia
Kwani alikopa huko charity? Hivi umepungukiwa akili kiasi hiki kweli?Tundu Lissu kama ni muadilifu aseme fedha za stahiki zake ni shilingi ngapi? Na je akilipwa atazipeleka kwenye charity gani? Walitangazia ulimwengu wote wako watu walifanya chariy kumeet gharama zake baada ya serikali kuzuia hizo stahiki zake. Analazimika kwa uungwana tu hizo stahiki zake anazo idai serikali kuzirudisha kwenye charity.
Kwani alikopa huko charity? Hivi umepungukiwa akili kiasi hiki kweli?
inasemekana risasi huwa zna sumu ya kudumu znaweza sababisha had ukichaa ohoooMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Wewe ndio una wivu wa kike kike! Wakati mwingine unaweza kujilaumu na kuona michongo yako haiendi fresh kumbe gundu unalitafuta mwenyewe. Badilika you young ladyWajasiria siasa utawajua tu. Fungu litapungua na mko wengi sana ilioguswa na hii post.
Who knows...unayumba sana, hizo ramli zako zinatabu sanaGod of Nazareth anahusika vipi ,Hivi haya mauwaji Na mateso Itakuwa wewe ni katika watu wa kikosi kazi
Lisu mjinga mchungaji Kipilimba mlokole alikataa kumwaga damu ya Lisu Magufuli akampiga chini na kumpa ubalozi Namibia akamtoa usalama wa taifa baada ya kugoma Kuua Lisu
Waliopewa mission ya Kuua Lisu ikawa unsuccessfully sababu ya maombi ya mchungaji Kipilimba
Lisu awe na shukrani hakufa mpuuzi mkubwa
Hata kukubali kiapo ni wito...Tuwaenzi walinzi wetu...Ni thawabu kwa Mungu kuheshimu kazi za watu ikiwemo yangu na yako ukiifanya kwa uadilifuAlijitolea au aliteuliwa? Na je kiapo chake kilikua na maana gani?je alikua halipwii?
Mbona Magu hakutoa amri kama ya hao marais.kama ni kweli, case closed,,amiri jeshi was nchi yeyote Dunia,ananguvu sana,
cheki Trump alitoa amri TU,watu wakapotea,,
huu ukweli watu wanajifanya hawautambui,,bush aliamuru jeshi liingie iraq ,matokeo take watu milioni kadhaa walikufa,,,
mfalme Daud,aliaamuru kamanda wake mkuu auWe ili tu yeye arithi Mke,,
kama anavyodai ni kweli Lisu awe mpole tu,hakuna kitu sisi tutaweza msaidia
Sishabikii mtu kukatishwa uhai wake na wala si muumini wa kuonea watu, but sometimes ku play victim pia ni dhambi mbaya sana...The guy seems to be so...Hajui hata kuji self evaluate nakuona ni kwa jinsi gani na yeye ana makosa yake katika hilo na kisha angesamehe pengine angepata haki yake zaidi ya hivi kuwa cry baby na kutegemea hisani ya watu ambao hawakuwahi kutoa hisani kwa bara letu...Mungu na amsaidie ajue kuwa hakuna haki nje ya Mungu na huanza kuoatikana pale wewe unaposamehe ili sasa wale malaika wazamu watumie binadamu kumpa haki yakeKipilimbi bado yupo TISS? Hicho Kikosi Kazi anachodai bado kina exist? This dude has simply lost touch of reality and needs some serious psychological rehab or maybe even psychiatric treatment. He appears to be living in a bubble and sounds very paranoid and vindictive. Mtu wa visasi. Kila akihojiwa lazima aje na ishu ya yeye kupigwa risasi na blah blah zake za stahiki za matibabu etc. "Saaasaaa", "Saaasaaa" kila sentensi.
Nilitarajia ungeweka bayana sababu ya dereva kufichwa Ulaya kwa gharama kubwa sana na pia sababu ya watu wazima wenye wadhifa kwenye chama kuongea uongo hadharani bila aibu kwa kusema dereva anatibiwa kisaikolojia