Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

This can mean this or that, which means it means nothing. Kana TISS ina watu X na Polisi ina watumishi Y na Uhamiaji Z, waajiriwa wore ni X+Y+Z. Ukisema waliokupiga wametoka huko of course wanetoka huko, it is not the same thing as Tundu Lissu "AWATAJA waliohusika kumshambulia.

Kama katika hao TISS waliotoka mikoani ni A na waliotoka makao makuu ni B, maana yake A+B=X. Kama polisi mikoani ni C na makao makuu ni D, then C+D=Y. Na Uhamiaji hivyo hivyo E+F=Z. Kwa hiyo waliomshambulia ni A+B+C+D+E+F ambayo ni sawa na X+Y+Z tuliyoanzia. This is mathematical roundabout.

Hajataja mtu, ametaja idara tu. Na kumtaja Kipilimba au Sirro hakuna cha mno kwa vile ni Taasisi zao, maana wao ndiyo mabosi. Pia angeweza kumtaja Rais kwa vile wote tuko chini yake. Ni kutupatupa majiba kuwachafua.

Hapa hajataja chochote bado ni kujikanganya kwenye matope tu. Hatujajua hasa kilichotokea labda angetupa majina yao au hatta sura zao kwa kutumia fotofit reconstruction ya Scotland Yard kwa vile Tundu Lissu na Dereva wake waliwaona vizuri.

Mr. Tundu Lissu na CHADEMA wanajua fika kilichotokea, watatuambia wakitaka lakini wasiwatuhumu watumishi wema kama Kapilimba au Kamana Sirro kwa sababu tu ni kazi yao.
 
Tunakuwa na Imani kuwa serikali haikuhusika. Lakini vitendo na mwenendo wa serikali baada ya Tundu Lissu kupigwa vinatia mashaka kwa hata sisi wapenda nchi yetu.
 
Uchunguzi wala hautacukua muda mrefu. Wakitazama tu hizo zinazoitwa cctv mchezo na kuwahoji walinzi wa siku hiyo mchezo umeisha
 
nimeamini damu siku hizi sio nzito
 

Sasa kwa nini haiundwi tume huru kuchunguza Kama yale mauwaji ya Mtwara?
 
Uchunguzi wala hautacukua muda mrefu. Wakitazama tu hizo zinazoitwa cctv mchezo na kuwahoji walinzi wa siku hiyo mchezo umeisha
Hapo patazuka mengi itakuwa kama kesi ya kuuliwa Karume Sr. ilibaki Nyerere kuitwa Mr X kuficha jina lake kuhusishwa Na mauwaji
 
Unaandika ujinga mtupu,
Polisi na DPP wamejaza watu mahabusu na kila siku wanasema upelelezi haujakamilika.
 
Hiyo timu haikwenda baada ya zengwe la Lissu na ikifuatiwa na Lissu pamoja na dereva wake kuondoka kwenda Ubeljiji. Huyo aliyeandika hivyo kwenye JamiiForums nadhani aliruka hatua mbele kwa sababu Simon Sirro alitangazia umma kuwa atapeleka sio amepeleka.
 
Unaandika ujinga mtupu,
Polisi na DPP wamejaza watu mahabusu na kila siku wanasema upelelezi haujakamilika.

Ujinga ni huu wako wa kuandika kitu ambacho hakina uhusiano na hoja iliyoko mezani. Endelea kuhamisha magoli mpaka ujinga wako utakapoisha!
 
Cc johnthebaptist
 
Wewe utakuwa mmoja wao, sio kwa utetezi huu!
 
Suppose Lissu na dereva wake wangekufa police wasingefanya uchunguzi?

Kwani wamekufa? TL kachanganyikiwa kila wakati wanasema Camera ziliondolewa hawaseme gari lake nalo liliondolewa kwenye eneo la tukio kama kidhibiti. Hataki kuona kamera zilichukuliwa/kuondolewa kana kidhibiti pia. Wanaona ziliondolewa kuficha ushahidi. Ajitafakari alimkosea wapi Mungu atubu. Na asiishie hapo ajiulize kwa nini Mungu amemuachia Neema hii ya kuendelea kuishi.

Mimi nitamsaidia sehemu moja waliyokosea ni ule ulaghai wa kuwa aminisha wanacdm na Watanzania kuhusu matendo ya EL. Kilicho washangaza wengi wakageuka wakapokea posho na 2015 kuzunguka nchi nzima kumuombea kura kwa Watanzania. Huu uovu wanaendelea kuulipia sioni Lissu/Mbowe/Lema and the likes kama wamejifunza chochote kutokana na hili kosa ni walewale hakuna mabadiliko kwenye maneno wala matendo yao. Lissu anataka arudishiwe gari kidhibiti kilicho polisi hataki kuja kutoa ushahidi. Na kama alilinunua kwa posho za EL ndio ajue ni adhabu ndani ya matendo.
 

Sasa kwa nini usifanywe uchunguzi huru kama yale mauwaji ya Mtwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…