This can mean this or that, which means it means nothing. Kana TISS ina watu X na Polisi ina watumishi Y na Uhamiaji Z, waajiriwa wore ni X+Y+Z. Ukisema waliokupiga wametoka huko of course wanetoka huko, it is not the same thing as Tundu Lissu "AWATAJA waliohusika kumshambulia.Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kama katika hao TISS waliotoka mikoani ni A na waliotoka makao makuu ni B, maana yake A+B=X. Kama polisi mikoani ni C na makao makuu ni D, then C+D=Y. Na Uhamiaji hivyo hivyo E+F=Z. Kwa hiyo waliomshambulia ni A+B+C+D+E+F ambayo ni sawa na X+Y+Z tuliyoanzia. This is mathematical roundabout.
Hajataja mtu, ametaja idara tu. Na kumtaja Kipilimba au Sirro hakuna cha mno kwa vile ni Taasisi zao, maana wao ndiyo mabosi. Pia angeweza kumtaja Rais kwa vile wote tuko chini yake. Ni kutupatupa majiba kuwachafua.
Hapa hajataja chochote bado ni kujikanganya kwenye matope tu. Hatujajua hasa kilichotokea labda angetupa majina yao au hatta sura zao kwa kutumia fotofit reconstruction ya Scotland Yard kwa vile Tundu Lissu na Dereva wake waliwaona vizuri.
Mr. Tundu Lissu na CHADEMA wanajua fika kilichotokea, watatuambia wakitaka lakini wasiwatuhumu watumishi wema kama Kapilimba au Kamana Sirro kwa sababu tu ni kazi yao.