Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Muacheni Mungu aitwe Mungu, yaani Magufuli aliyetuma WASIOJULIKANA wakamuue Lissu yeye ndiyo amekufa na Lissu yuko hai!! Kama wanaomuabudu Magufuli hawajifunzi kwa hili tukio basi hawana maana ya kuishi
 
Kwa kuwa kusudi lao lilikuwa ni kuua basi wameshaua!
Ole wenu enyi wauaji, damu na laana ya uovu mliofanya ikawe laana kwenu na uzao wenu hadi jehenamu!
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Hata mimi nikimuua jirani yangu, watoto wangu ndio wataenda kusaidia kwenye msiba wa jirani kupika, kufanya usafi na mambo mengine
Tafakari[emoji375][emoji375][emoji375]
 
Taifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.

Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Pia tunataka tume huru juu ya upigwaji risasi wa Tundu Lissu ndio utakuwa ukomo wa hili jambo
 
Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ofcoz, kila siku anapigwa risasi. Wewe huoni hilo..???

If you put yourself in his shoes, you will clearly see it. You will feel the pains of 37 bullets everyday..

The pains of these bullets will only stop if the culprits are apprehended...
 
Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Hoja yako nini hapa...?

Je, una maana, kwa kuwa alirudi, akagombea u - Rais 2020, akazunguka nchi nzima huku akilindwa, basi hii yatosha kusema kuwa, "kikosi cha rais Magufuli chini ya TISS ya Kipilimba" halikuhusika kuratibu mauaji yakiwemo ya Tundu Lissu...?

Labda hujui. Ngoja nikukumbushe;

1. Kwenye uchaguzi mkuu wa nchi yoyote, the whole world hutazama pale. Kwa hiyo, mamlaka lazima zifunike kombe ili mwanaharamu apite. Lazima zipake chokaa kaburi kwa juu. Lazima zi - predend kuwa zinajali na kufuata sheria...

2. Kwamba, umesahau kuwa Jiwe a.k.a Pombe Magufuli na CCM yake walishindwa vibaya sana ktk uchaguzi huo wa 2020 wa udiwani, ubunge na u - Rais...

3. Kwa hofu ya "itakuwaje sasa maana tumepiga". Jibu likawa moja tu, ku - umafia uchaguzi...

Systematically kwa kutumia mfumo mbovu wa katiba na sheria ya uchaguzi + mamlaka ya kiserikali, Jiwe akai - hijack kura zote za udiwani, ubunge na u - Rais kisha akaanza kuwapa/kuwagawia wanaCCM wenzake ktk kata za udiwani na majimbo ya ubunge na akamalizia kwa yeye kujipa kura za kutosha u - Rais na kisha akajitangaza mshindi...

4. Thereafter, mzee baba John Pombe Magufuli, immediately akaamuru ulinzi dhidi ya hasimu wake Tundu Lissu uondolewe na mara na Systematically vilevile, mwanya wa kuimaliza kazi waliyoianzisha mwaka 2017 kule Dodoma indirectly ikaanza kutaka kuendelezwa...

## Lakini bwana, njia za Mungu za ku - deal na uovu ni za ajabu na za kipekee kwelikweli...

## Yaani mtoa maelekezo na amri za kuua wengine, naye ktk mazingira yasiyo na maelezo ya kutosha dunia ilishitukia tu anakufa kizembe bila hata kupigwa risasi moja ya bastola...!!

## Yaani kampiga mwenzake risasi 37 HAKUFA. Lakini yeye akafa bila hata kupatwa na moshi au cheche za risasi ya SMG...!!
 
Ndugu, unafaidika au familia yako inafaidika nini na huu upumbavu wako?
 
Na wewe upelekwe Mirembe maana yake uchangiaji wako humu unaonyesha jinsi ulivyo bogus tu hakuna unachofahamu.
Basi wekeni iwe public holiday maana kila mwaka mnatujazia sever tu
 
Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.

Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine

Jwtz wakishirikiana na usalama na polisi! Japo kazi kubwa ilifanywa na infomer na jwtz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…