Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mrudisheni lissu hospitali kichaa kinakaribia kuanza tena, mwezi umeandama maana uchaguzi unakaribia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kaoshe magari ya mabosi wako wa ccm hao wauaji. Bure kabisa.Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Na wewe upelekwe Mirembe maana yake uchangiaji wako humu unaonyesha jinsi ulivyo bogus tu hakuna unachofahamu.Mrudisheni lissu hospitali kichaa kinakaribia kuanza tena, mwezi umeandama maana uchaguzi unakaribia
uzee wake utakuwa wa mateso na majuto milele!Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.
Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine
Hata mimi nikimuua jirani yangu, watoto wangu ndio wataenda kusaidia kwenye msiba wa jirani kupika, kufanya usafi na mambo mengineOhooo! kusha kucha huku
Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi
Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Tafuta na wewe kiki ya kupigwa risasiHahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Pia tunataka tume huru juu ya upigwaji risasi wa Tundu Lissu ndio utakuwa ukomo wa hili jamboTaifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.
Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Ofcoz, kila siku anapigwa risasi. Wewe huoni hilo..???Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hoja yako nini hapa...?Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Ndugu, unafaidika au familia yako inafaidika nini na huu upumbavu wako?Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
Basi wekeni iwe public holiday maana kila mwaka mnatujazia sever tuNa wewe upelekwe Mirembe maana yake uchangiaji wako humu unaonyesha jinsi ulivyo bogus tu hakuna unachofahamu.
Haya kameze dawaHahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.
Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine