Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kumuelewa Lissu inahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mmojawapo katika wale waliomdunga marisasi. Tutampata mmoja mmoja humu.
 
Haya mambo watu mnayaona mepesi mkiyajadili huku mtaani. Lakini ni mazito na yanatia hofu. Wapo watu kwenye nafasi zao huko juu WALICHUKIZWA sana na matendo hayo chini ya Magu na Kapilimba wake na tuombe siku serikali hii ya CCM ipigwe chini na maovu yote ya awamu ya tano yawekwe wazi sidhani kama kuna mtu ataunga mkono kumuona Kapilimba ofisi ya umma zaidi ya gerezani yeye na watu wake.
Watatajwa watu hamtaamini.
Kuua na kutesa raia ni jambo baya sana na halina nafasi katika jamii ya wastaarabu
 
Hakuna kitu kama hicho, mfumo wa nchi huko hivyo hata Mbowe akitawala mambo yatakuwa hivyo hata kuzidi,hata Samia juzi aliwambia kuwa huko mtaani mkae kwa adabu maana kuna chawa wake,ukiwaudhi wakakukamata mpaka tarifa inakuja kufika kufika kwake Wewe umekwisha umia.serikalikalini kuna Watu wameajiliwa watu na wanalipwa mshahara mizuri kwa ajili ya kuangalia watu roporopo mtaani na akikuua akuna Mtu wa kumuliza,
Maana ni Kazi yake.Hata hapo Chadema Mbowe anakikundi chake cha kumlinda mwenye kiti,kama unabisha mulize Zitto kuna kipindi chawa wa Mbowe alikuwa Bensaa8 alikuwa anatembea na sumu,ili anzuru kwasababu alikuwa msumbufu kwa kiti cha Mbowe.
 
Kuhusu ingekua ni majibu n as nadhani Lissu aje na ushahidi kamil na sio kutaja tu
 
Lissu ni msaliti kwa taifa lake, hauwezi kusomeshwa kwa kodi za watanganyika alafu baada ya kusomeshwa unaanza kuuza Siri za nchi kwa Wazungu, 'eti tutashitakiwa Miga' uku akiomba nyalaka za Siri kwa Mwanyika ili Serikali ipate asara.
Hauwezi kufanya mauzauza ya kipumbavu kwa kuwahadaa raia ukitumia kivuli cha uzalendo ilhali unaiba na kuhamishia fedha nje, Lissu ni mwanasheria na anafuata utaratibu wa kisheria ulivyo.
 
Ben Saanane alipotezwa na Jiwe kama walivyopotezwa wengi, Azory Gwanda na wengine wote mnaomzushia Mbowe. Mbowe ha-control vyombo vya dola hivyo hatia yoyote atakayoifanya ndiyo itakuwa golden chance kwa CCM kumpoteza jumla, hususan kipindi cha Jiwe uteleze akuache [emoji50][emoji44]!! Hilo lisingewezekana hata kidogo.
 
Si angewapeleka mahakamani? miaka yote alikuwa wapi, kwanini alimficha dereva wake, huku ni kuchafuana tu angesema wakati anayesemwa alipokuwa hai.
 
Anakupotezea muda huyo, angejua jinsi Mbowe alikuwa anawindwa apatikane na kasoro yeyote wammalize kwa uwazi na ulaini asingeandika upuuzi wake.
 
Hata lisu ni chiba kwa usariti wake alama aliyoipata hatasahau mpaka anaingia kaburini.
Msaliti anashambuliwa kwa siri? Hamjui kuwa ukimjua msaliti na kumshambulia unaitwa SHUJAA WA TAIFA? Sasa mbona hakuna anayejitokeza kuwa mimi ndio yule nimemshambulia msaliti?
Ni kwa vile walio mshambulia ndio wasaliti wa taifa, mafisadi wa nchi hii na walioiba fedha za plea bargain na kuhifadhi China na Canada.
Damu ya Lissu ilimwagika pale Dodoma na Mungu akakataa kuipokea roho yake kwani ana makusudi na mtu huyu, sasa Mungu hawezi kuacha ukweli ujifiche daima kwenye hili hadi lilipwe
 
Hata jambazi anaweza kuishi miaka mingi sana kuliko mcha Mungu,tumeshudia watenda dhambi wengi wakitamba tu na wacha Mungu wakitaabika,kuishi mda mrefu au mfupi sio kigezo chakuwa wwe ni mtenda mema.Lissu huyu mtetea ushoga ndiye anaitwa mwema.Ngoja tuone.
 
Mwambieni aweke majina yao kabisa aache kuweweseka. Habari nzito kama hii unaitoaje nusunusu
 
Taifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.

Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Yametimia.
Maandiko haya ytadumu miaka 1000 mbele
 
Anakupotezea muda huyo, angejua jinsi Mbowe alikuwa anawindwa apatikane na kasoro yeyote wammalize kwa uwazi na ulaini asingeandika upuuzi wake.
Kuwa mfuasi wa politics zile zinahitaji usiwe na Ubinadamu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…