muwelewele
Member
- Dec 3, 2016
- 34
- 29
Kumuelewa Lissu inahitaji uwezo mkubwa wa kufikiriHuyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app