Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Huyu kipilimba anatajwa katika uovu mwingi sana nchi hii, ni wakati wa nae kushughulikiwa atambue kuwa kila anaeua kwa upanga nae atakufa kwa upanga
Akili yangu inaniambia hivi, kwa nchi yetu watu ambao wanasiamamia maslahi ya wengi wanaitwa waovu na wale ambao wanajua kulambisha watu makombo yao wanaitwa waungwana...Ni hayo tu, but nitumie nafasi hii kuwashukuru wale wachache ambao katu hawajawahi kuchoka kuisimamia nchi yetu na maslahi yake. Hata sasa Mungu aendelee kuwapigania na kuwalinda ili kazi yenu njema ilisimamishe taifa letu imara.
 
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi

Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.

P
Mkuu Mayalla una hoja lakini kupigwa risasi nyingi vile halafu ukae kimya tena ukiwa mwanasiasa sio rahisi.Huo ndio mtaji wake Lissu hadi anaingia kaburini.Ushauri mzuri kwako jitahidi kusoma alama za nyakati wewe ni Mwandishi mkubwa sana.ukitoa makala zako usijaribu tena kuzichangia au kuzitolea ufafanuzi .Vijana watakuabisha siku moja.
 
Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
Wahuni waliotaka kuivuruga nchi!? Itakuwa yule uchwara aliyewahi kupanga pale magogoni na akaondoshwa kabla ya muhula wake kwisha.
 
Akubaliane na mazingira ya sasa. Sifa ya mwanasiasa ni kuwa na busara ya kukubaliana na kitu ambacho waingereza wanaita 'compromise'.

Bahati mbaya sana JPM hakuwa na uwezo wa kufanya suluhu na wanasiasa wenzake, alikuwa na zile hulka za kisukuma za kushindwa kujishusha katika masuala hata ya msingi na madogo tu.

Mama ni mzenji, na anao utayari wa kujishusha ili muafaka uweze kupatikana, Lissu kama mwanasiasa mzoefu kwa sasa anatakiwa awe ameshaiona tofauti ya SSH na JPM na aitumie katika kujijenga upya kisiasa.

Uzuri wa haya maisha siku zote kuna nafasi ya kuanza upya, kuna nafasi ya kufanyia kazi makosa ya siku za nyuma na kuanza ukurasa mpya.
Who knows...unayumba sana, hizo ramli zako zinatabu sana

Sio ramli ni matamshi yake
 
Haya majibu siyo yanayotakiwa hii ni kuendelea kutufanya watanzania kama ta wajinga, watuambie je uchunguzi wa wahusika utafanyika au hautafanyika? kwani hapa nako kuna utata? Maana watuhumiwa bado wapo mitaani tena Wana kula Bata na hapa ndipo hofu ilipo.
Subiri utaambiwa
 
Tuna uzoefu na vyombo vyetu vya uchunguzi, kwenye shambulio la aina ile wangemtisha huyo dereva na kumuwekea maneno mdomoni ili kupindisha ukweli. Mfano halisi wa uchunguzi wq vyombo vyetu vya dola, ni ushahidi wa uongo uliokuwa unatolewa na polisi kwenye kesi ya Mbowe. Ni mjinga tu anayeweza kuamini vyombo vyetu vya dola kuwa vinaweza kuchunguza shambulio kama la Lisu na kutoa taarifa ya ukweli. Hata Lisu asingeenda kutibiwa Nairobi kisha apelekwe Muhimbili, leo hii ingekuwa ni kumbukumbu ya kifo chake.
Kwa hiyo atakaa uhamishoni mpaka lini? Na bado mtu anadai eti mbona shauri halikupelekwa mahakamani wakati principal witness wewe unayedai shauri lipelekwe mahakamani umeamua kumficha. Na kuna watu waliojitoa ufahamu wanakusapoti kwamba shauri lipelekwe mahakamani hivyo hiyo bila principal witness.
 
..kama unajua dereva yuko ulaya ina maana kwamba hajafichwa.

..na kama serikali inaamini kwamba dereva ni mhalifu inatakiwa itoe taarifa zake Interpol ili aweze kukamatwa huko aliko na kurejeshwa nchini.
very logical argument kwamba aliko dereva inafahamika ni Belgium. Ila fahamu kuwa dereva is simply an important witness, sio mhalifu. Na aliyemuweka huko Belgium ni mdau mkuu katika kesi ya kushambuliwa kwa Lissu. Ukifahamu hayo utajua kwa nini dereva hafuatwi kwa njia ya Interpol as you are suggesting
 
Watanzania hamjui mambo mengi sans

Tiss ni idara ya ofisi ya raise chini ya katibu mkuu kiongozi

Kijazi alikuwa katibu mkuu kiongozi - alikufa Kwa COVID

Magufuri alikuwa rais - alikufa Kwa COVID

Baada ya mungu kusafisha ikulu kupitia COVID neema imeonekana nchini kwetu.
Halafu wewe ndio unawasema wengine hawajui mambo mengi?
 
Rais wetu lazima ajue kwenda na nyakati bado watu wanamachungu na utawala wa mwendazake.
 
very logical argument kwamba aliko dereva inafahamika ni Belgium. Ila fahamu kuwa dereva is simply an important witness, sio mhalifu. Na aliyemuweka huko Belgium ni mdau mkuu katika kesi ya kushambuliwa kwa Lissu. Ukifahamu hayo utajua kwa nini dereva hafuatwi kwa njia ya Interpol as you are suggesting

..Good observation.

1.katika hatua ya Uchunguzi, mdau mkuu ni Polisi / Jamhuri, siyo Lissu / victim.

Jeshi la Polisi ndilo lenye mamlaka ya kisheria kuchunguza uhalifu.

2. dereva hajajijificha, inajulikana yuko Belgium.

3. kama taratibu za Interpol sio sahihi kumfikia, Je, kuna taratibu nyingine za kuweza kumfikia?

4. Is Tanpol out of options? Miaka minne tangu uchunguzi uanze wamefanya nini? Hakuna hata suspect.

5. Huenda kwa maoni ya Tanpol dereva sio shahidi muhimu na ndio maana jitihada hazijafanyika kutumia Interpol kumrudisha nchini, au kushirikiana na vyombo vya Ubelgiji kumhoji.

6. Huenda pia Lissu si shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi kwasababu angekuwa muhimu Polisi wangemhoji alipokuwa Nairobi, au alipokuja Tanzania.
 
Kwa hiyo atakaa uhamishoni mpaka lini? Na bado mtu anadai eti mbona shauri halikupelekwa mahakamani wakati principal witness wewe unayedai shauri lipelekwe mahakamani umeamua kumficha. Na kuna watu waliojitoa ufahamu wanakusapoti kwamba shauri lipelekwe mahakamani hivyo hiyo bila principal witness.

Angekufa kusingekuwa na hilo shauri?
 
Orodha ya mliowatia ulemavu au kuwaua ni ndefu. mmezoea mkipiga wanakaa kimya mf. Dr Ulimboka. Sasa hii bouster ya Lissu na Mdude hamkuizoea kabisa. Ni kama wametiwa ndimu

Acha moto uwake. wauaji kutajwa unaumia?
Wahuni wamepandisha bei ya maandazi hapa mtaani kisa vita ya wazungu huko Ulaya Mashariki.
 
..Good observation.

1.katika hatua ya Uchunguzi, mdau mkuu ni Polisi / Jamhuri, siyo Lissu / victim.

Jeshi la Polisi ndilo lenye mamlaka ya kisheria kuchunguza uhalifu.

2. dereva hajajijificha, inajulikana yuko Belgium.

3. kama taratibu za Interpol sio sahihi kumfikia, Je, kuna taratibu nyingine za kuweza kumfikia?

4. Is Tanpol out of options? Miaka minne tangu uchunguzi uanze wamefanya nini? Hakuna hata suspect.

5. Huenda kwa maoni ya Tanpol dereva sio shahidi muhimu na ndio maana jitihada hazijafanyika kutumia Interpol kumrudisha nchini, au kushirikiana na vyombo vya Ubelgiji kumhoji.

6. Huenda pia Lissu si shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi kwasababu angekuwa muhimu Polisi wangemhoji alipokuwa Nairobi, au alipokuja Tanzania.
Kimsingi bado kuna maswali mengi sana katika hili yanayohitaji tafakari na majibu ya kina.
 
Kimsingi bado kuna maswali mengi sana katika hili yanayohitaji tafakari na majibu ya kina.

..kwa maoni yangu linaleta ukakasi mkubwa sana ktk siasa za Tanzania.

..Ningetamani sana Raisi Ssh atende HAKI ktk suala hili.

..Na kwa maoni yangu haki haiwezi kutendeka kwa kuwaachia Polisi jukumu la kuchunguza tukio lile la kikatili.

..Igp Sirro na Rpc wa Dodoma wameonyesha chuki na kutokumjali Tundu Lissu pamoja na kwamba aliumizwa karibia na kufa.

..Kwa msingi huo sioni kama ni watu sahihi kusimamia uchunguzi wa tukio lile la kinyama.

..Ni imani yangu kwamba namna bora ya kulimaliza suala la Lissu ni Raisi kuunda TUME HURU yenye nguvu za kimahakama itakayotafuta ukweli wa kilichotokea.

Cc Nguruvi3
 
Bure kabisa huyu. Wacha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa kudumu!
 
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.

Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Lazima lisu awe na khofu na maisha yake kwa sababu waliotaka kumuuwa bado wako huru na hakuna uchunguzi wowote uliofanywa. Mbona yule kijana. Wa madini aliyeuliwa na polisi mtwara samia alimuagiza majaliwa kuunda timu kuchunguza polisi ingawa walishafikishwa mahakamani sasa tujiulize nini kinamzuiya Rais samia kuunda tume huru kuchunguza kupotea kwa Ben saanane na jaribio la mauwaji ya tundu lissu.
 
Magufuli na vijana wake walifanya operation ya kijeshi ndani ya taifa lao kama Putin na jeshi lake dhidi ya Ukraine

Ukraina Si taifa la Putin ,taifa lake ni Russia.
Ni Kama Tanganyika anavuotumiwa kuivamia Zanzibar ,siku Hao wanaowatumia wakiugeuza mchezo watakuja hadithi nyengine kabisa ya kuikan dia Tanganyika
 
Back
Top Bottom