..Good observation.
1.katika hatua ya Uchunguzi, mdau mkuu ni Polisi / Jamhuri, siyo Lissu / victim.
Jeshi la Polisi ndilo lenye mamlaka ya kisheria kuchunguza uhalifu.
2. dereva hajajijificha, inajulikana yuko Belgium.
3. kama taratibu za Interpol sio sahihi kumfikia, Je, kuna taratibu nyingine za kuweza kumfikia?
4. Is Tanpol out of options? Miaka minne tangu uchunguzi uanze wamefanya nini? Hakuna hata suspect.
5. Huenda kwa maoni ya Tanpol dereva sio shahidi muhimu na ndio maana jitihada hazijafanyika kutumia Interpol kumrudisha nchini, au kushirikiana na vyombo vya Ubelgiji kumhoji.
6. Huenda pia Lissu si shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi kwasababu angekuwa muhimu Polisi wangemhoji alipokuwa Nairobi, au alipokuja Tanzania.