Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Labda ujifanye umesahau. Wakati Lissu akiwa Nairobi na akawa ameanza kufanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari IGP Sirro alitamka kuwa atapeleka vijana wake Nairobi kwenda kumhoji ili shauri liweze kuendelea. Wa kwanza ku-react alikuwa mgonjwa Lissu akidai kuwa polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kumhoji akiwa Kenys labda wapate kibali cha mwanasheria mkuu wa Kenya. Sasa kwa nini Lissu afikiri kuwa IGP wa Tanzania hafahamu taratibu??? Cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya hili tamko la IGP Sirro, ilichukua muda mfupi sana Lissu na dereva wake wakahamia Ubeljiji. Inabidi ujivue ufahamu sana ili uone kuwa matukio hayo ya Lissu ni ya kawaida. Dereva aliyekuwa anatibiwa kisaikolojia Nairobi mara anahamishwa ghafla na mgonjwa Lissu kwenda Ubeljiji!!!!
IGP Sirro: Tumetuma makachero Nairobi kumhoji Lissu na dereva wake
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema timu ya wapelelezi imetumwa kwenda Nairobi, Kenya kufanya mahojiano na Tundu Lissu. MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP, SIMON SIRRO Mbali na Mbunge huyo wa Singida Mashariki (Chadema), timu hiyo pia itafanya mahojiano na dereva na mlinzi...