Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Yaani Chadema wangejichanganya kumuacha Tundu Lissu asigombee urais ingewa-cost maisha yao yote, Naamini sasa kwa Tanganyika amepatikana mtu madhubuti sana kwenye siasa hizi za vyama vingi, kule Zanzibar Maalim Seif ni No.1 na Lissu sasa Ndio No.1 kwa tanganyika hao akina Lowassa, Slaa, Nyalandu, Sumaye au Membe ni kupoteza muda tu.
 
Nilishauri humu narudia tena, tundu lisu aachwe aropoke apendavyo maana hiyo ni sehemu ya tiba kwake kwa yaliyomkuta.

Kingine Lisu hawezi kuwa rais popote duniani kwahiyo aachwe afanye atakalo maana 28 oktoba hii tutamfundisha adabu
Alishawahi kuwa raisi wa wanasheria.....
 
MATOKEO MPAKA SASA

Lissu 3-0 Polepole
Lissu 3-0 Magufuli
Lissu 3-0 CCM
Lissu 3-0 NEC
Lissu 3-0 Msajili
Lissu 3-0 Kamanda Zirrro
Lissu 3-0 Ma mboo_sasa
Lissu 3-0 Policcm
 
Hiyo ni tasisi tu kama ilivyo Wasafi media!

Lakini urais wa nchi asahau
Kwa mtu mwenye uakili timamu huwezi sema maneno haya yaani kura utegemee wananchi halafu uwe na uhakika wa asilimia mia uchaguzi sio lelemama kama unavyofikiri ni jambo kubwa sana
 
Nakupongeza sana lissu sisi kama wanasheria tunakuomba endelea kutoa elimu Juu ya haki na wajibu amri isiyo fuata sheria ni batiri ,piga kazi naona serikali yote imechanganyikiwa mara NEC,polisi,pia nimpongeze jakaya kutokujihusisha na kampeni za bhana yuleee kwani jakaya heshima yake ipo Juu sana
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Sheria za wapi, tatizo watu mmezoea kupeleka au kupelekwa kama mifugo. Sheria zenyewe hauzijui. Sasa mnakutana na mtu anajua sheria mnageuka vichekesho.
Hayo unayoyasema yanaitwa mazoea...mkituma na kufuata taratibu mbona anakuja tu..
 
Kwa mtu mwenye uakili timamu huwezi sema maneno haya yaani kura utegemee wananchi halafu uwe na uhakika wa asilimia mia uchaguzi sio lelemama kama unavyofikiri ni jambo kubwa sana
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!

Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
 
H
Tuwekee hapa hiyo sheria
Huo sasa unakuwa wajibu wako kutafuta, acha uvivu, kitu haujui unapinga pinga. Wenzako polisi tayari wame cancel wito, unasemaje sasa?
Tulieni taifa lirudi katika misingi ya uongozi na utawala bora.
Hapo umeshapata elimu bure, next day polisi anakung'ang'ani mwende kituoni uliza kosa au kujua kwanini..
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!

Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
Kumbe hufahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi Mbowe haruhusiwi kuvuka nje ya Jimbo lake kumnadi mgombea wa uraisi TL....!!?
upo nyuma kiuelewa
 
Comment zako huwa nazishangaa sana na hv inaitwa kilaza...
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!

Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
Mtu mwenye akili timamu huwa anajua lolote linaweza kutokea, huyo unaemtaja anaitwa mkereketwa au mfurukutwa na basically huwa hafikirii kwa logics and facts.
Kama ingekuwa rahisi hivyo nguvu inayotumiwa na CCM isingetumiwa, come again with strong points, au ujisomee tu ndugu Mtanzania mwenzetu.
Yani hata suala la Mbowe wewe haujui serikali imesemaje kuhusu wagombea kwenda kufanya kampeni nje ya jimbo hahaha namshukuru Mungu kwa kutokuwa MATAGA
 
Kumbe hufahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi Mbowe haruhusiwi kuvuka nje ya Jimbo lake kumnadi mgombea wa uraisi TL....!!?
upo nyuma kiuelewa
Weka hiyo sheria hapa tuione!

Zitto yuko huku na huko kila siku ina maana yeye hiyo sheria haimuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…