Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,092
- 886
Sipati picha.Tundu Lissu anazidi kutikisa nyavu za timu pinzani, Diwani anza kupasha huko uliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipati picha.Tundu Lissu anazidi kutikisa nyavu za timu pinzani, Diwani anza kupasha huko uliko
ICC wanaiweka copy licha ya kujishitukia na kuacha kumbambikia kesi
Alishawahi kuwa raisi wa wanasheria.....Nilishauri humu narudia tena, tundu lisu aachwe aropoke apendavyo maana hiyo ni sehemu ya tiba kwake kwa yaliyomkuta.
Kingine Lisu hawezi kuwa rais popote duniani kwahiyo aachwe afanye atakalo maana 28 oktoba hii tutamfundisha adabu
Hiyo ni tasisi tu kama ilivyo Wasafi media!Alishawahi kuwa raisi wa wanasheria.....
Masikini Mambosasa Mzee fedheha hizo.
Huwa najiuliza sana kwanini tume imeshindwa kumpelekea barua TL in person!!?Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kingine
Kwa mtu mwenye uakili timamu huwezi sema maneno haya yaani kura utegemee wananchi halafu uwe na uhakika wa asilimia mia uchaguzi sio lelemama kama unavyofikiri ni jambo kubwa sanaHiyo ni tasisi tu kama ilivyo Wasafi media!
Lakini urais wa nchi asahau
Sheria za wapi, tatizo watu mmezoea kupeleka au kupelekwa kama mifugo. Sheria zenyewe hauzijui. Sasa mnakutana na mtu anajua sheria mnageuka vichekesho.Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!Kwa mtu mwenye uakili timamu huwezi sema maneno haya yaani kura utegemee wananchi halafu uwe na uhakika wa asilimia mia uchaguzi sio lelemama kama unavyofikiri ni jambo kubwa sana
Daah Melo atulinde tu manake siku I'd zetu zikivuja tutadakwa kama panya!!?IJIPI swairo acha u mburura,ka hujui jinsi ya kuandika barua za wito MUOMBE JEMBE LISSU AKUPE SHULE YA BURE
Huo sasa unakuwa wajibu wako kutafuta, acha uvivu, kitu haujui unapinga pinga. Wenzako polisi tayari wame cancel wito, unasemaje sasa?Tuwekee hapa hiyo sheria
Kumbe hufahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi Mbowe haruhusiwi kuvuka nje ya Jimbo lake kumnadi mgombea wa uraisi TL....!!?Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!
Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
Comment zako huwa nazishangaa sana na hv inaitwa kilaza...Walishindwa kwenda kuwakamata Kenyatta na Ruto waliohamasisha fujo na kila siku wapo nje ya nchi waje kumkamata Sirro Tanzania.
Get serious acha kutishia watu wazima nyau, besides Lissu sio kwamba anaonewa ni mtu asieheshimu sheria he is becoming a real pest.
Mtu mwenye akili timamu huwa anajua lolote linaweza kutokea, huyo unaemtaja anaitwa mkereketwa au mfurukutwa na basically huwa hafikirii kwa logics and facts.Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!
Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
Weka hiyo sheria hapa tuione!Kumbe hufahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi Mbowe haruhusiwi kuvuka nje ya Jimbo lake kumnadi mgombea wa uraisi TL....!!?
upo nyuma kiuelewa