Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Hiyo sheria ya tume hebu iweke hapa tuione,

Zitto yeye yuko huku na huko kila siku, ina maana hii sheria haimuhusu ila ina mhusu Mbowe tu?

Kushinda urais hakupimwi kwa maneno ya kejeli ma vijembe vya Lisu majukwani na wafuasi wake mitandaoni.

Ona huu utafiti hapa.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi hata kifikiria kwamba Lisu atamshinda Magufuli kwenye box la kura mwaka huu!

Hili hata kina Mbowe wanajua ndio maana unaona wameacha ahangaike pekee yake wao wameenda kupigania ubunge.
Subiri vipimo muda utaongea
 
lissu anatafuta sababu ya kukamatwa au kuzuiwa kuendelea na kampeni kwa nguvu zote lakini alipolalia yeye wenzie ndipo walipoamkia wanampuuza tu hawamkamati na kampeniaendelee mpaka pumzi itakapomkatikia aache mwenyewe asubiri kuapishwa kwa jpm yaani sasa hivi hata akienda kumfinya jpm hakamatwi anaachwa tu tumeshamjua janja yake
 
Relax Mkuu.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Umenukuu sheria gani mkuu!
 
Kama Hiyo taasisi haijanihoji Ni ya kupuuzwa.
 
Kabla hujajiingiza kwenye kujadili complex issues. Nakusihi ujifunze kwanza kutofautisha Kibali na Taarifa. Kinachotakiwa ni kutoa taarifa Polisi sio Kuomba Kibali dada yangu.
Kwa ivyo kwako tofauti ya ‘kibali na taarifa’ ni complex ni issue, ama kweli.
 
Maelezo marefu unataka kusemaje sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…