Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hiyo sheria ya tume hebu iweke hapa tuione,Mtu mwenye akili timamu huwa anajua lolote linaweza kutokea, huyo unaemtaja anaitwa mkereketwa au mfurukutwa na basically huwa hafikirii kwa logics and facts.
Kama ingekuwa rahisi hivyo nguvu inayotumiwa na CCM isingetumiwa, come again with strong points, au ujisomee tu ndugu Mtanzania mwenzetu.
Yani hata suala la Mbowe wewe haujui serikali imesemaje kuhusu wagombea kwenda kufanya kampeni nje ya jimbo hahaha namshukuru Mungu kwa kutokuwa MATAGA
Zitto yeye yuko huku na huko kila siku, ina maana hii sheria haimuhusu ila ina mhusu Mbowe tu?
Kushinda urais hakupimwi kwa maneno ya kejeli ma vijembe vya Lisu majukwani na wafuasi wake mitandaoni.
Ona huu utafiti hapa.