Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Hapa hatuzungumzii mazoea, tunatungumzia sheria inasemaje.
Sheria pia hairihusu Polisi kuwapiga mabomu raia kwenye kampeni, wale polisi walioshiriki kupiga mabomu wapewe wito wa kwenda kuripoti ICC
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Lisu ni Presidential candidate tena yupo kwenye kipindi cha kampeni ana ratiba ya kufuata iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi, wito wake Polisi hauwezi kuwa kama unavyofikiria wewe.
 
Kweni IGP sio mwanasheria wa kuweza kupambanua maagizo mazuri na maagizo mabaya toka kwa Boss wake? au tuseme kajitoa muhanga kwa lolote mbele ya Mungu wake?
Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
 
Walishindwa kwenda kuwakamata Kenyatta na Ruto waliohamasisha fujo na kila siku wapo nje ya nchi waje kumkamata Sirro Tanzania.

Get serious acha kutishia watu wazima nyau, besides Lissu sio kwamba anaonewa ni mtu asieheshimu sheria he is becoming a real pest.
Mifano ya Kenyata ni sawa na mifano ya lowasa ambavyo vimepitwa na wakati, sasa ni mwaka 2020 tupo kivingine ushahidi wa IGP ni video zake mwenyewe usifananishe ya Tanzania na Nchi zingine, kumbuka watanzania wana machungu watumishi wa umma wana hasira wametaabika kwa miaka mitano, wewe ni mnufaika wa mabaya ya utawala huu huwezi kujua uchungu wa wananchi uliopo mitaani.
 
LISSU: BARUA YA POLISI HAIKUELEZA KOSA, NAENDELEA NA RATIBA ZANGU
-
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameweka kwenye ukurasa wake wa twitter barua iliyokuwa na wito uliomtaka afike Ofisi Kuu ya Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam
-
Hata hivyo Lissu amedai kuwa ataendelea na ratiba zake na vikao vyake kwa kuwa barua ya Polisi ni amri sio barua ya kirafiki
-
Pia amedai, barua ilibidi ioneshe kosa lake na ilibidi itumwe kwake na sio kwa Mwenyekiti wa Chama kama ambavyo barua aliyoiweka mtandaoni imeonesha
-
Jana, IGP Simon Sirro akiongea na waandishi wa habari alisema Tundu Lissu ameonekana akiwa anagombana na Wakuu wa Polisi wanaoambatana naye kwenye mikutano ya kampeni na akamtaka aende Kituo cha Polisi Kilimanjaro
Screenshot_20201002-095215.jpg
 
Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
Kwani kutojua Sheria ndiyo kuruhusu polisi kutumiwa na CCM kuwaonea watu? Polisi kuwapiga mabomu raia walitumia Sheria za wapi? ICC ikiwapa wito kuna ubaya?
 
Kwani kutojua Sheria ndiyo kuruhusu polisi kutumiwa na CCM kuwaonea watu? Polisi kuwapiga mabomu raia walitumia Sheria za wapi? ICC ikiwapa wito kuna ubaya?
KIla kitu anauliza sheria. Btw., Alipojibiwa na Tume juu ya majaliwa kushiriki kampeni aliridhika au hilo limekwisha sasa anatafuta jingine?
 
Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
Huo ni mtazamo wako, rudi katika utaratibu.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Usimfundishe kazi. Tulia wewe mwaka huu mtadata sana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mifano ya Kenyata ni sawa na mifano ya lowasa ambavyo vimepitwa na wakati, sasa ni mwaka 2020 tupo kivingine ushahidi wa IGP ni video zake mwenyewe usifananishe ya Tanzania na Nchi zingine, kumbuka watanzania wana machungu watumishi wa umma wana hasira wametaabika kwa miaka mitano, wewe ni mnufaika wa mabaya ya utawala huu huwezi kujua uchungu wa wananchi uliopo mitaani.
Yaani afadhali ata zama hizo ndio kidogo walikuwa wana support ya mataifa yenye nguvu.

Tangia watishie kuchunguza majeshi ya US na UK huko Middle East na hao jamaa kuondoa support ya ndio kabisa hiyo taasisi kwa sasa imekuwa very useless.

Afadhali wakati US na UK wana support ICC walau walikuwa wanasaidia kutoa pressure kupitia vyombo vyao vya propaganda.

Hizo porojo za Lissu ni kwa ajili ya mtu kama wewe, watu wenye akili zao timamu wanaona Lissu ni mtu anaedekezwa tu kupitiliza na mamlaka za Tanzania.
 
Hivi hatuwezi kuwafukuza mabalozi hawa hasa wa UK, US, Vatican na Canada? Mbona Pope Francis bosi wa balozi wa Vatican amekataa ugeni wa kukutana na mgombea urais wa US kipindi cha kampeni. Prof Kabudi unasemaje juu ya hili.
 
Eti huyu ndio anataka kuwa Rais. Anakataa wito halali wa polisi kwa kutegemea kuonewa huruma. Kamekaa kiugomviugomvi....
Tunafundishwa kutii sheria bila shuruti.
 
binafsi nahisi vitu vingine vinahitaji busara wala hakuna haja ya kutafuta BINGWA wa sheria......
Nakumbuka Muheshimiwa aliweza kuhalalisha wimbo wa Taifa uongezwe ubeti eti kwa kuwa hauna hati miliki; Nikajiuliza, hivi mtu anaweza kulima shamba la mtu mwingine eti kwa kuwa mwenye shamba hana hati miliki; nahisi Busara ni muhimu sana kwenye uongozi
Kumbuka Lissu alikuwa akijisifu kushinda kesi za kutukana watu kwenye TV na kusema nimewapiga chini. Hakujali busara kama inamuongoza vizuri. Yeye huamini akishinda sheria basi na busara amepata.
 
Back
Top Bottom