Sheria pia hairihusu Polisi kuwapiga mabomu raia kwenye kampeni, wale polisi walioshiriki kupiga mabomu wapewe wito wa kwenda kuripoti ICCHapa hatuzungumzii mazoea, tunatungumzia sheria inasemaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria pia hairihusu Polisi kuwapiga mabomu raia kwenye kampeni, wale polisi walioshiriki kupiga mabomu wapewe wito wa kwenda kuripoti ICCHapa hatuzungumzii mazoea, tunatungumzia sheria inasemaje.
Lisu ni Presidential candidate tena yupo kwenye kipindi cha kampeni ana ratiba ya kufuata iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi, wito wake Polisi hauwezi kuwa kama unavyofikiria wewe.Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Eti kosa la kuwafokea polisi![emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado kidogo CCM waehuke wanahangaisha kweli tumeccm , msajiliccm , sasa policcm , wameanza kupiga magoti bado kidogo wavue nguo .View attachment 1587533View attachment 1587535View attachment 1587536View attachment 1587540
Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.Kweni IGP sio mwanasheria wa kuweza kupambanua maagizo mazuri na maagizo mabaya toka kwa Boss wake? au tuseme kajitoa muhanga kwa lolote mbele ya Mungu wake?
Mifano ya Kenyata ni sawa na mifano ya lowasa ambavyo vimepitwa na wakati, sasa ni mwaka 2020 tupo kivingine ushahidi wa IGP ni video zake mwenyewe usifananishe ya Tanzania na Nchi zingine, kumbuka watanzania wana machungu watumishi wa umma wana hasira wametaabika kwa miaka mitano, wewe ni mnufaika wa mabaya ya utawala huu huwezi kujua uchungu wa wananchi uliopo mitaani.Walishindwa kwenda kuwakamata Kenyatta na Ruto waliohamasisha fujo na kila siku wapo nje ya nchi waje kumkamata Sirro Tanzania.
Get serious acha kutishia watu wazima nyau, besides Lissu sio kwamba anaonewa ni mtu asieheshimu sheria he is becoming a real pest.
ZWAZWA LA LUMUMBAAnajua kabisa ameshashindwa.
Mwananchi wa kawaida ndie boss mkuu wa hao mabaloziKabudi no waziri wa mambo ya nje ndie bosi wa mabalozi wote aweza ongea nao anytime
mwenzie anaakili mara 1000 za ZIRRO atampatajeSirro akitaka kudhalilika aendelee kumfuata fuata Lissu
Kwani kutojua Sheria ndiyo kuruhusu polisi kutumiwa na CCM kuwaonea watu? Polisi kuwapiga mabomu raia walitumia Sheria za wapi? ICC ikiwapa wito kuna ubaya?Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
KIla kitu anauliza sheria. Btw., Alipojibiwa na Tume juu ya majaliwa kushiriki kampeni aliridhika au hilo limekwisha sasa anatafuta jingine?Kwani kutojua Sheria ndiyo kuruhusu polisi kutumiwa na CCM kuwaonea watu? Polisi kuwapiga mabomu raia walitumia Sheria za wapi? ICC ikiwapa wito kuna ubaya?
Huo ni mtazamo wako, rudi katika utaratibu.Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
Usimfundishe kazi. Tulia wewe mwaka huu mtadata sanaLissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Yaani afadhali ata zama hizo ndio kidogo walikuwa wana support ya mataifa yenye nguvu.Mifano ya Kenyata ni sawa na mifano ya lowasa ambavyo vimepitwa na wakati, sasa ni mwaka 2020 tupo kivingine ushahidi wa IGP ni video zake mwenyewe usifananishe ya Tanzania na Nchi zingine, kumbuka watanzania wana machungu watumishi wa umma wana hasira wametaabika kwa miaka mitano, wewe ni mnufaika wa mabaya ya utawala huu huwezi kujua uchungu wa wananchi uliopo mitaani.
Kwan alijibiwa vipiKIla kitu anauliza sheria. Btw., Alipojibiwa na Tume juu ya majaliwa kushiriki kampeni aliridhika au hilo limekwisha sasa anatafuta jingine?
Kumbuka Lissu alikuwa akijisifu kushinda kesi za kutukana watu kwenye TV na kusema nimewapiga chini. Hakujali busara kama inamuongoza vizuri. Yeye huamini akishinda sheria basi na busara amepata.binafsi nahisi vitu vingine vinahitaji busara wala hakuna haja ya kutafuta BINGWA wa sheria......
Nakumbuka Muheshimiwa aliweza kuhalalisha wimbo wa Taifa uongezwe ubeti eti kwa kuwa hauna hati miliki; Nikajiuliza, hivi mtu anaweza kulima shamba la mtu mwingine eti kwa kuwa mwenye shamba hana hati miliki; nahisi Busara ni muhimu sana kwenye uongozi
Ni kumchanganya Magufuli pamoja na ccm yake mpya,mpaka anafoka foka hovyo na kuwatisha wananchiHivi kwanza nataka kujua, kosa la lisu ni lipi?