Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

ivi kingereza cha hiko kitini kitakua kama kile alipokua anahojiwa na Shaka Ssali?
 
Na alivyo bingwa wa mikakati DW idhaa yakiswahili,BBC ,V.O.A wikimbilizote watakua wanaangaza habari za Lisu na kitabu chake
 
Hana sababu ya kugeuza, avuke mpaka aingie Tz aje kwa ajili ya kongamano la Katiba Mpya tarehe 1 July.

Mtamuuwa huyu mzee, mwacheni arudi kwenye familia yake bado wanamuhitaji.. ..siasa ni mchezo mchafu sana.
 
Vipi ile pesa ya michango ya matibabu yake? Hakuna hata mahesabu ili tujue chenji ilikuwaje?
 
yaaani akija ni chap akamatwe
 
Lissu hakuchagua kuwa Mkimbizi ila ni kwasababu ya Ibilisi.
arudi sasa kama amehakikishiwa usalama ambao aliupata kipindi cha kampeni[emoji16][emoji16].

uzuri wa siasa unakuwa na wafuasi wako watiifu wanaokutii hata uwaombe nini.hawawezi hata kufikiri tena.
 
arudi sasa kama amehakikishiwa usalama ambao aliupata kipindi cha kampeni[emoji16][emoji16].

uzuri wa siasa unakuwa na wafuasi wako watiifu wanaokutii hata uwaombe nini.hawawezi hata kufikiri tena.
Hata aliyeondoka alikuwa hivyo alikuwa na wafuasi wake kina palamagamba ilikuwa huwaambii kitu mbele yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…