raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Duh hatari sana hii sijui imekuaje huko wana ujasiri kama huuMkuu alijionea vitu Kama hivi hakawa amedata[emoji1787][emoji1787]
Watu kule kushika million 30 mkononi Kawaida tu hafu anatembea nazo hata kilomita 1.View attachment 2746079
Mwisho kilometer 10 tu mkuu zaidi ya hapo ni kesi upande wa bondo kilometer 10 na Zambia hivyo hivyo.Hapana, unaingia tu hata na gari yako yenye plate number za Tz, sema kuna distance ya kutoka mpakani mpaka km kadhaa mbele ndio utatakiwa docs.
Hilo eneo Lina watu wengi sana , Kuna msongamano wa watu wengi, ndio eneo la Maduka mengi makubwa.Duh hatari sana hii sijui imekuaje huko wana ujasiri kama huu
Mbona kkoo kuna watu wengi lakn huwezi kukuta michezo kama hiyoHilo eneo Lina watu wengi sana , Kuna msongamano wa watu wengi, ndio eneo la Maduka mengi makubwa.
Ukiambiwa hizo Hela wakati mwingi hazipelekwe Bank Kuna sehemu zinalala ndio utashanga kabisa, hizo Hela ama zinabaki eneo Hilo ama nyumbani Kwa mtu
Hilo eneo Lina watu wengi sana , Kuna msongamano wa watu wengi, ndio eneo la Maduka mengi makubwa.
Ukiambiwa hizo Hela wakati mwingi hazipelekwe Bank Kuna sehemu zinalala ndio utashanga kabisa, hizo Hela ama zinabaki eneo Hilo ama nyumbani Kwa mtu
Kama hivi mkuu hapo watu wameshika Kama million 50 hafu kuna nyomi la people hafu hata hawajali hapa hata watu kutoka dar wanakuwaga washambaa kushangaa[emoji1787][emoji1787]View attachment 2746084
Kila la kheri mkuu, Bahati njema iwe upande wako daima.👍Kaka mr solo nimemtafuta kama ulivyonielekeza nimempata aisee jamaa yuko poa nimefika by saa sita mchana kanisaidia kutafuta dalali wa vyumba tumejitahidi kutafuta vyumba maeneo ya njia ya sumbawanga lakini vyumba hakuna aisee kumejaa imebidi leo nilale guest kanisaidia kutafuta tumezunguka almost guest 3 zote zimejaa ya nne ndio nimepata chumba, kesho dalali ataendelea kunitafutia chumba, ila kiukweli tunduma imechangamka sana.
welcome mkuu
Nilipanga chumba maporomoko miaka ya 90. Umenikumbusha mbali sana brother!.😂Karibuni boarder ya wajanja Tunduma naishi Maporomoko biashara Zambia nalala Tanzania.
Hongera sana kaka ,mi najipanga kuja hapo mwezi unaokuja kuanza harakati mzee ,nikija nitakucheki .Wakuu leo ndio nimeingia tunduma siku ya kwanza pamechangamka sana aisee ila bado sijapata issue ya kufanya kwa yeyote mwenyeji wa hapa naomba tuwasiliane ikiwezekana tupatiane michongo ili maisha yaende. Ahsanteni sana.
Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243Kaka mr solo nimemtafuta kama ulivyonielekeza nimempata aisee jamaa yuko poa nimefika by saa sita mchana kanisaidia kutafuta dalali wa vyumba tumejitahidi kutafuta vyumba maeneo ya njia ya sumbawanga lakini vyumba hakuna aisee kumejaa imebidi leo nilale guest kanisaidia kutafuta tumezunguka almost guest 3 zote zimejaa ya nne ndio nimepata chumba, kesho dalali ataendelea kunitafutia chumba, ila kiukweli tunduma imechangamka sana.
Mwamba huyu hapo kwenye upande wa mafuta wengine wote wanaigiza kwanza ajawahi ishida mafuta hata yawe ya shida kivipi...hapo tu watu wamejaa wanasubili kujaziwa mafuta kwenye vyombo vyao...na wakati sheli zote zimekete mafutaZile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243
Hongera sana kaka ,mi najipanga kuja hapo mwezi unaokuja kuanza harakati mzee ,nikija nitakucheki .
Kukuvunjia heshima kivipi ? Unabisha kuwa wewe ni dogo au nini wewe mwanamke?Jitahidi kuwa mstaarabu. Tusivunjiane heshima.
Weka wazi hapa hicho chumba kipo maeneo gani Kwa Tunduma , tuwezi kuwashauri watu wachukue ama hapana, Kwa Tunduma Hii Bei ni kubwa sana . Anaweza kupata Bei kuanzia 20,000/Hadi 50,000/=Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243
Jomba elewa kuwa mama yako ndo anajua kama mimi ni mwanamke au mwanaume. Kuwa na heshima kwa hawara wa mamakoKukuvunjia heshima kivipi ? Unabisha kuwa wewe ni dogo au nini wewe mwanamke?