Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Usikonde utafika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh!!!na we nawe kaplai boi we mdogo hvyo unakiss mwee

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunda alikuwa anakuja weekend hakai sana na alikuwa white na alikuwa ana sukwa vi rasta basi akija jua mtaa wetu videmu vyote chinii.

Na tulikuwa wawili na bike wanaweza kuja kuomba nika banaa ila akija yeye yani sifikirii.

Matukio ni mengii.

Ila dada yake D ndo tulikuwa close sana japo kuna muhunii ali mkunja,kwenye mchicha enzi hizoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseehh!kumbe kupinda walianzaga zamani mwee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo kwa mangwair hebu tueleze life style ya jamaa kipindi hicho ilikuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua form 1 Abdul alikua form 3 ila sikumtaja hapa kwakuwa jamaa ametaja wasanii tu.

ABDUL MOHAMMED
huyu jamaa alikua ana roho safi sana pale shule na GS bora kwa nyakati zile nakumbuka hata muda wa kampeni hakupata shida na alionesha weledi sana kitu kizuri hata alipopata uongozi hakuwahi badilika kabisa . Siku moja majira ya saa 4 kipindi cha mapumziko alitukuta tumekaa nje ya kantini washikaji zaidi ya kumi tukamwambia kiongozi hatuna hela tununulie chai ile kiutani..basi bwana wote tulipigwa tambi na maharage na chai pale saafi kabisa...ABDUL MUUNGWANA SANA na ndo maana aliwahi kufanikiwa.

Tulipokua form 4 wakati huo 2012 ndo amepata kazi BBC alikuja kwenye mahafali ya kidini akatupa sana mawaidha ya kuyokata tamaa na kupambana pia alikuja kutuaga na tumuombee dua anapoenda.
Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOSES KITANDU
Huyu ni yule mchezaji wa Simba kama sikosei msimu wa majuzi ndo alikuepo Simba maana kwa sasa simsikii huyu mwmba alikua mwanagu pia kwenye kundi letu..dah nikikumbuka lile kondi wengi wameishia kufeli kwa uhuni na usela uliopitiliza japo Moses yeyehakuwa muhuni kivile.

Azania 2012 timu ya shule iliongozwa na Captein Masud Jabir huyu kwa sasa ni mjeda na ni mwanangu mpaka kesho...huku kuna Abuu Moshi namba 8 hiyo(Mwizi hatari[emoji23][emoji23] kaliza sana watu) ,Ally Anya (alikua kipa huyo ni fala mmoja hivi alijipendekeza sana kwa Ngozye shenzi) ,Benson Kalonzo(R.I.P) Moses Kitandu (striker)...naimisi san Azania

UNAKULA SITAAAAA!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlisoma shule moja ya joti! Aisee nlianza shule wakti yy akiwa kashamaliza la saba ila tulimjua kwa vituko vyake! Hasa kile cha kupita nje ya madarasa akikimbia huku anapiga kelele...na moment alizokua anakuja na makapuni mbal mbali kama ya soda na maziwa kwenye matamasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah muda huo wengine tupo chuo, nakumbuka miaka ya 2005-2008 tulicheza mechi kadhaa aisee watu walikua wanatembea kuja kuangalia mechi za nje ya Azaboi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…