Wajinga ndoo ninyi
 

Wakabe tuwapige moto simple.
 
Absolutely,
Mkulimwa hana ahueni mbolea imetoka Elfu 75 hadi Laki na 18, mafuta na vingine e.t.c still tuna hitaji sera itakayo muangalia mtu wa chini
 
Absolutely,
Mkulimwa hana ahueni mbolea imetoka Elfu 75 hadi Laki na 18, mafuta na vingine e.t.c still tuna hitaji sera itakayo muangalia mtu wa chini View attachment 1990422

Unategemea hiyo ndio inatakiwa kuwa kazi ya msingi ya serikali.

Kujiuliza tunawasaidiaje Watanzania wengi, wainuke, wawe na vipato vizuri, waweze kulipa kodi, ambazo zitaongeza mapato ya serikali automatically kama wakulima wakiangaliwa.

Wakitaka kutengeneza sera, kuweka/ kuongeza kodi inabidi kitu cha kwanza wenye mamlaka wajiulize hizi sera zina athari gani kwa mkulima, zitamsaidiaje mkulima, effects zake kwenye ajira, uzalishaji wa mazao, kodi in short term and longterm.
 
Ufumbuzi ni kutafuta zaidi masoko ya mazao nje, pia kuruhusu wakulima kuuza mazao yao popote pale duniani.

Wapunguze vikwazo, ukiritimba, urasimu, kodi, vibali vingi kwenye kilimo.

Sera rafiki kuvutia wawekezaji wa ujenzi wa viwanda vya mbolea, matrekta, vifaa vya umwagiliaji, machine za kuchakata mazao pia na kuweka kodi rafiki kwa vitu muhimu kwa ajiri ya uzalishaji.

Wakizingatia haya, mapato ya serikali yataongezeka, ajira zitaongezeka na vijana watapata suluhisho la kudumu, endelevu, serious alternative ya kuwa mmachinga.

Ukiziba kotekote utaua watu, mwisho wake hautakuwa mzuri kwa serikali, raia na nchi kwa ujumla.
 
Mkuu sisi tupo hapa maeneo ya Ilala Boma...bango tunaliona ila pa kuenda hatujajua
Nyie jamaa ni vichwa maji kabisa hatuwaungi mkono kabisa mchapwe tu shida wengi wenu tatizo shule hivi hapo karume mnachoshindwa kuingia machinga complex ni kitu gani au mawasiliano kinachowashinda kuingia sokoni mule mawasiliano vibanda vimetelekezwa mmejazana juu ya mitaro wakati watu wanawafata popote mlipo kwani wateja wa kariakoo wanaishi pale si karibia wote wanashuka kwenye madaladala shida yenu nini hii nchi sio ya wamachinga peke enu nyie ni sehemu ndogo tu kwanza kuwa mmachinga sio fahari yoyote ni umasikini tu huwezi mbele za watu ukajitambulisha wewe machinga watu wakakuona wa maana, nendeni kwenye maeneo mliyopangwa wateja wenu watawafuata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…