Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JidanganyeZoezi limepungua nguvu
Wajinga ndoo ninyiPumzika kwa amani Jemedari chuma JPM, mzalendo na kiongozi madhubuti.
Mabeberu na Mafisi yamekuondoa mapema sana ingali taifa linahitaji uchapa-kazi wako.
Kila siku naikumbuka ile sauti yako yenye mngurumo wa radi. Kiongozi mwenye kinywa kilichojaa mamlaka na AMRI.
You have gone too soon John!
Pole sana kama nimekukwaza. Sikuwa na dhamira hiyo uliyo ifikiria.
Jana nikiwa natokea ubungo kuja kimara ndani ya daladala, kulikuwa na jamaa (vijana) waliyobomolewa vibanda vyao
Moja ya tahadhari katika maelezo yao ilikuwa juu ya uwezekano wa kuongezeka kwa vitendo vya ukabaji, kwakuwa vijana wengi hawatakuwa na kazi kipindi hiki Serikali ikiwa bado inafanya utaratibu wa maeneo.
Kiufupi ni kuwa tunajijua watanzania, unaweza kupinga lakini ukweli ukabaki nao ndani ya moyo wako.
Absolutely,Mazingira ya biashara, kilimo, exports, kodi, tozo muhimu yawe rafiki kwa wafanyabiashara na wakulima wote wakubwa na wadogo.
Hizi sera zinabidi ziwe strategic pia kuwe na join-up thinking.
Wakati wamachinga wanaondolewa barabarani, lazima kuwe na sera za uhakika, endelevu kuhakikisha taifa halizalishi wamachinga wengine wengi.
Kuongeza tozo kunapunguza ajira/kipato kwa wakala wa miamala, bei za mbolea inaongeza vikwazo kwa wakulima.
Hizi sera inabidi ziende kwa pamoja.
Machinga complex kulishajaa zamani Sana mkuuMmeaambiwa muende Machinga Complex, Bunju, Kisutu au Mburahati
Aise eee bhanae kweli mlikuja nanmumeyabeba mabanda yetu...Sasa Banda langu lile la tigo pesa mumelipeleka wapi jamani...Subirini hapo hapo sisi ndio tupo hapa tunachukua amri za mwisho mwisho kuja kupiga mabomu hapo na kuvunja vunja mabanda yenu.
Hatuna huruma.
Njoo jumatatu utatukuta na familia zetu palepale.mtupange vizuriHaahaaa
Hata Kama wengi wetu ni darasa la Saba B...akili tunazoo...Machinga tutayajenga 2025 ila kwa Sasa tusameheane kidogo
Main road mkuu, sio maskani
Absolutely,
Mkulimwa hana ahueni mbolea imetoka Elfu 75 hadi Laki na 18, mafuta na vingine e.t.c still tuna hitaji sera itakayo muangalia mtu wa chini View attachment 1990422
Nyie jamaa ni vichwa maji kabisa hatuwaungi mkono kabisa mchapwe tu shida wengi wenu tatizo shule hivi hapo karume mnachoshindwa kuingia machinga complex ni kitu gani au mawasiliano kinachowashinda kuingia sokoni mule mawasiliano vibanda vimetelekezwa mmejazana juu ya mitaro wakati watu wanawafata popote mlipo kwani wateja wa kariakoo wanaishi pale si karibia wote wanashuka kwenye madaladala shida yenu nini hii nchi sio ya wamachinga peke enu nyie ni sehemu ndogo tu kwanza kuwa mmachinga sio fahari yoyote ni umasikini tu huwezi mbele za watu ukajitambulisha wewe machinga watu wakakuona wa maana, nendeni kwenye maeneo mliyopangwa wateja wenu watawafuata tu.Mkuu sisi tupo hapa maeneo ya Ilala Boma...bango tunaliona ila pa kuenda hatujajua