Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga
Mnazalisha majobless.
Huyo mama 2025 mtampa shida sana
Acha uzwazwa ndugu

Mama amedhamiria kuiletea maendeleo ya kweli Tanzania. Hayuko radhi kuwatumia machinga kama mtaji wa kisiasa.

Mama amedhamiria kulisaidia taifa zima kwa ujumla wake. Maamuzi ya busara sana haya ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Viva Mama Samia
 
Hili zoezi ni kwa mkoa wa dar es salaam pekee au na huku kwetu litafika? Maana kiukweli hali ni mbaya japo sio sana ila ni bora kuwahi mapema.
Zoezi la kuwaondoa machinga ni la nchi nzima, Kauli ya Rais inafanya kazi Tanzania yote.
 
Hapa shekilango nimepita ni peupe peeeh.. wapo wachache wanaomalizia... sijui wametishiwa na jw hawa... yaan kirahisi tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aisee sijapita mitaa hiyo ila palikuwa hovyo sana, vibanda kila sehemu afu pia bodaboda wanatumia njia hiyohiyo yaan kero tupu kwa watembea kwa miguu
 
Maamuzi yasiyo ya haraka ni yapi?
Maamuzi yasiyo ya haraka yalikuwa ni kutengeneza sehemu zinazowashawishi wao na Wateja wao wakubwa wakubwa kuhamishia Biashara zao maeneo hayo

Umewahi kuona kinachotokea siku za Sabasaba au Nanenane? Watu hukutana sehemu zisizo katikati ya Mitaa au Miji na Biashara hufanya vizuri sana

Siyo hii Jicho kwa Jicho mtu hapewi hata matumaini ya Mstakabali wa Biashara yake anafurushwa Tu
 
Aisee sijapita mitaa hiyo ila palikuwa hovyo sana, vibanda kila sehemu afu pia bodaboda wanatumia njia hiyohiyo yaan kero tupu kwa watembea kwa miguu
Yaan unashtuka boda hii hapa. Nimefurahi sana wao kuhamishwa. Naelewa ugumu wa maisha ulivyo lakini haikua njia sahihi. Hawa watu wameambiwa nini mpaka wamehamisha hv??

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi yasiyo ya haraka yalikuwa ni kutengeneza sehemu zinazowashawishi wao na Wateja wao wakubwa wakubwa kuhamishia Biashara zao maeneo hayo

Umewahi kuona kinachotokea siku za Sabasaba au Nanenane? Watu hukutana sehemu zisizo katikati ya Mitaa au Miji na Biashara hufanya vizuri sana

Siyo hii Jicho kwa Jicho mtu hapewi hata matumaini ya Mstakabali wa Biashara yake anafurushwa Tu
Dunia ya leo hakuna huduma za bure, Kama wewe ni machinga na unataka mahali pazuri pa kufanyia biashara zako, inakubidi uanze ngazi ya chini, kwa sababu katika maisha hakuna kuruka ngazi, ukiruka ngazi utaporomoka tu ili kufuata kanuni zake, Sasa kinachowatokea Machinga nchi nzima ni kwamba waliruka ngazi lao hii wanaporomoka ili warudi mahali wanapostahili.
 
You know what it takes to live a 10/10 life.

These men and women are ours and shouting Joy when they are mistreated, ni Usaliti kwa ndugu zetu!!

Wenzio hata 3/10 of life needs hawawezi kujitimizia. Kama tatizo ni Uchumi wa Nchi, Sidhani kama hawa ni shida kwa sasa

Tanzania should think, there are no limits of Good Choices in Government. Huwezi kuchukua Mali kutoka kwa Maskini ukapeleka kwa Matajiri hili tunalifahamu
 
Kumbe kichwa chako kibovu.
Kuwapanga wamachinga nako NI kuwasaidia?
Kuna wamachinga wangapi wanna elimu kwanini asiwape ajira?
hivi umachinga nayo ni kazi ?
So wanafanya tu sababu ya shida

Back
Top Bottom