Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

BAKIIF Islamic hata huku kwenye ukristo hasa PENTECOSTALS kazi yetu kubwa kilasiku tunawaza kufungua makanisa na kufungulia mziki Kwa fujo ....ufike muda walokole nao wajenge hospital,shule na huduma zingine za jamii kama ilivyo Kwa katoliki na kkkt
Ajabu zaidi sasa tukianza kushambuliana mpaka tunatukanana wakati huenda tuko nje ya lengo la Mungu mwenyewe

Maana utakuta waumini kila kitu wana pata katika taasisi nyingine lakini kutoa wanalazimishwa makanisani na misikitini

Tunapaswa sana kubadilika kila mtu kwenye Dini yake kwa kweli!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao ktk bold wanatoa sana sadaka na michango mbalimbali but ninyi huwa mnawacheka kwamba ni wajinga wanapelekea hela mapadre na wachungaji.

Mkiiga kwao mkubali kuwa watoaji.
Ndugu yangu huku Pentecostal tunatoa Sana sadaka isipokuwa shida hizo pesa zinaenda Kwa MTU mmoja Tu tofauti na taasisi kama Catholic na kkkt hawa jamaa wanaona mbali Sana,hii mada ya Leo inatusema hata huku Kwa walokole Kwa mfano mtaa ambao naishi kuna zaidi ya makanisa ya kilokole zaidi ya 7 yaani kila MTU anafungua Tu kanisa,
Tena afadhali Kwa waislamu wanajenga misikiti Kwaajili ya waumini wote lkn Sisi tunaanzisha kanisa Kwaajili yangu na maisha yangu
 
Pale Kinondoni Muslim pangekua hospitali/shule/chuo Kikuu pangeokoa watu wangapi?
Sekondari IPO pale Ila haifanyi vizuri ingawa Wana eneo kubwa Sana pale Hadi uwanja wa Mpira upo tena mkubwa kwelikweli
 
Umenisemea Allah anisamehe mwanangu baba ake amempeleka seminary ya masista maana hakuna shule nzuri ya kiislamu ya wasichana,ni mtihani mtupuu
 
Exactly [emoji817]
 
Takbirr
Hsya ndiyo maneno ya kuambiana
 
Hakuna mtu anayeiingia ukirisito kwa kupewa msaada. Morogoro tuna chuo na shule nyingi tu. Na hospital zipo nyingi tu. Sijajua lengo lako nini. Uislamu unaongoza kwa maendeleo mengi nchini
Hicho Chuo cha Morogoro unajuwa kama ni Mkapa ndio amewapa?
 
Wewe umewahi kumuona Yesu wapi?
 
Umenisemea Allah anisamehe mwanangu baba ake amempeleka seminary ya masista maana hakuna shule nzuri ya kiislamu ya wasichana,ni mtihani mtupuu
Kuna dhambi gani Kwa mtoto wako kwenda kusoma kwenye shule bora?

Sidhani kama unajuwa hata huo uislamu na Quran, Mwislamu unatakiwa na Quran uitafute elimu hata China siyo shule za masister tu.

Halafu sidhani kama unafahamu kwenye Quran Maria/Mariam ana sura nzima inaitwa Surat Mariam, je unalifahamu hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…