Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Taasisi ni Bakwata iliundwa na Laanatullahi Nyerere.
Ni vizuri ukawaulize wao

Soma vizuri thread inaongea nini
Umeandika mwenyewe nakunukuu

Hujasema taasisi
Jumuiya ya waislam imefanya nini toka Sewahaji mpaka leo?

Sewahaji (ambaye alikuwa muhindi) alijenga jengo la muhimbili miaka ya 1800 (alifariki 1897)

Ni nini nyie Waislam mmefanya kwa miaka yote hii mnachoweza kuonyesha?

Nioneshe Hospitali moja tu ya kueleweka Iliyojengwa na waislam...Moja tu nioneshe.
 
Wewe ni mfano halisi wa waislam anaowazungumzia mtoa mada.
Naam
Kama we na mtoa mada mnavyofanana upeo
U don't know why u have been created,u think that u hv been created purposely to fulfill wishes and desires while it's unlikely !
 
hata ifakala mahenge makanisa ya meota mizizi kabla ya uhuru lakini wandamba na wapogolo masikini viongozi wao ndio mtajiri

nenda nyasa kwa kina kolimba komba kunjombe njoo mpaka songea wakirisito huko niwao tu na nguluwe wao lakini umasikini ulioko huko hatari na uchawi njoo sumba wabawanga mpanda umasikini mtu na uchawi tena huko ndiko waliko wakirito tu njoo mbeya iringa njombe kazi kuchuna ngozi watu tu huko hakuna waisilam kaangalie umasikini ulivio kithiri mkiristo mshamba usio tembea kazi kusifia mali za kanisa tu mbona azikuaidii
Huu uwandishi unatosha kukufaham.
Pengine hata Form 4 tu hujafika.
 
Naam
Kama we na mtoa mada mnavyofanana upeo
U don't know why u have been created,u think that u hv been created purposely to fulfill wishes and desires while it's unlikely !
Mtoa mada ni mvaa kobazi mwenzako ukumbuke... Ni vile tu yeye amekuwa na Upeo wa kuona mbali tofauti na nyie ambao hamna mnapoona
 
Mada haizungumzii wachungaji kubebwa...
Ukitaka tujadili hilo, anzishia uzi wake tutakuja kuchangia.

Mada inazungumzia WAISLAM KUJENGA VITUO VYA HUDUMA(shule, vyuo, hospital) na sio kukomaa na misikiti tu.

Hebu Bakini kwenye Hoja.... au imekuwa ya moto sana?
Wewe ni mtu wa kuchupia mara hichi mara kile.
Sasa unaongelea watu , kule ulisema Taasisi.
Umekunywa damu ya kienyeji ya Yesu?
 
Washamba hao point yao watakuja na MWENGE catholic na hospital ya Muhimbili kama unabisha ndo defensive mechanism yao ...Wakati ni wajinga wanawachangia mapandre na maaskofu then wao ndo wamiliki wa izo shule na vyuo
Hospitali ya Muhimbili imejengwa na muislam Sewa Haji Paroo toka India alifariki mwaka 1850
 
Wewe ni mtu wa kuchupia mara hichi mara kile.
Sasa unaongelea watu , kule ulisema Taasisi.
Umekunywa damu ya kienyeji ya Yesu?
Sasa watu sio taasisi? Au taasisi inaundwa na ng'ombe?

Swali langu unalikwepa, ila nitakomaa na wewe mwanzo mwisho.

Nauliza: [emoji116]

Waislam mmefanya kipi cha maana kinachogusa jamii?( Usiniambie habari za muhindi Sewahaji wa mwaka 1870)

Nitajie Hospitali moja tu ya kueleweka iliyoanzishwa na Waislam au Taasisi ya Kiislam au hata wafadhili wa Kiislam..
 
Hospitali ya Muhimbili imejengwa na muislam Sewa Haji Paroo toka India alifariki mwaka 1850
Mkuu kama mimi ningekaa kimya tu nikubali nime-fail ila nikiri naanza upya kuliko kuleta point hiyo hapo juu.

Ok acha tukubali Muhimbili imejengwa na Muislam aliyefariki mwaka tajwa hapo juu upo uwezekano ilijengwa nyuma zaidi ya hapo,sasa ktk miaka hii 173 baada ya kujengwa na mmiliki wake kufa tuambie iko wapi nyengine mliyoijenga?

Japo moja tu!
 
Uislamu unaongoza kwa maendeleo ?

1.Taja idadi ya vyuo vikuu vya kiislamu hapa Tz.
Mm Sidhan Kama vyuo Vikuu Vya Kiislamu Vinanyanyua Uislamu,Bali Vinananyua Waislamu Wachache Wenye Hiyo Organization.Uislamu unanyanyuliwa Kwa Kujifundisha Quran,Quran ambayo Inafundishwa madrasa Na sio Chuo Kikuu Cha Kiislamu.
Tena Quran Ina elimu Zote Ulimwenguni.Biology,Astronomy Na Kila kitu Kipo Kwenye Quran
 
Sasa watu sio taasisi? Au taasisi inaundwa na ng'ombe?

Swali langu unalikwepa, ila nitakomaa na wewe mwanzo mwisho.

Nauliza: [emoji116]

Waislam mmefanya kipi cha maana kinachogusa jamii?( Usiniambie habari za muhindi Sewahaji wa mwaka 1870)

Nitajie Hospitali moja tu ya kueleweka iliyoanzishwa na Waislam au Taasisi ya Kiislam au hata wafadhili wa Kiislam..

Tutafanya nini na Serikali mnayo nyinyi wakristo ?
Mnafanya ujangili Mali zinafichwa makanisani. Kama vile Yesu na roho mtakatifu ndio walinzi.

Unaweza kuniambia kesi ya huyu Padri iliishia vipi ?

PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
Na Daniel Mbega, Namanyere

PADRI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga (jina linahifadhiwa) ni miongoni mwa watu 50 waliokamatwa kwa ujangili na Kikosi Kazi cha Taifa katika Pori la Akiba la Lwafi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa.
Padri aliyekamatwa ni wa Parokia ya Kirando katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, ambaye bunduki yake aina ya Rifle yenye darubini inadaiwa kutumika katika ujangili ndani pori hilo la Lwafi wilayani humo.

Taarifa za kipolisi zimeeleza kwamba, mbali ya kukamatwa kwa watu hao, pia jeshi hilo limekamata bunduki 48 za aina mbalimbali ikiwemo ya Padri huyo anayoimiliki kihalali, pamoja na risasi 764 na maganda ya risasi 101.

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jacob Mwaruanda amesema kuwa baadhi ya waliokamatwa silaha zao wanazimiliki kihalali lakini zinatumika kinyume na utaratibu wa kumilikishwa kwao.

"Watu hawa bado wanahojiwa na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake," alisema Kamanda Mwaruanda.
Kamanda Mwaruanda alisema kati ya bunduki 48 imo moja ya kivita aina ya AK47, bunduki 8 aina ya Rifle na risasi zake 83, Shortgun 19 na risasi zake 138, bastola 5 na risasi zake 133, magobore 15, magazine nne za bunduki aina ya Sub-Machine Gun, maganda matano ya bunduki aina ya Rifle, maganda 96 ya risasi za bunduki ya shortgun pamoja na vifaa vya kutengenezea bunduki za kienyeji na mitutu sita.

Watuhumiwa hao walikamatwa pia na nyara za serikali ambazo ni mikia sita ya tembo, nyama ya nyati kilo 20, miba ya nungunungu, ngozi moja ya paka-pori na pembe ya Nshya.
 
Sijakuuliza kuhusu Padri, Usipanic bado, ni mapema sana.

Mimi niko palepale, sitoki kwenye reli:

[emoji116]

Wewe Speed Gavana umeshakosa hoja kama upo bongo tafuta kitanda kilipo ulale,padre ni mtu kama mimi na wewe au Al-had Musa ana tamaa zake kama tulivyo sisi sidhani kama hii ni hoja ya kuiingiza hapa.

Kaa pembeni achia wenzio nao wapewe elimu.
 
Niambie kesi ya huyo Padri na Mali iliyofichwa kanisani ilienda wapi ?
 
Back
Top Bottom