Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwani hujui nguvu ya chama cha siasa? Unataka nianze kukufundisha vitu hivi vidogo vya chekechekea?Nguvu?
Kwa maana ipi?
Uungwaji mkono na raia au kutumia mabavu , hila, fitna na majeshi kubaki madarakani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Au kuendelea kuidunisha Tanganyika na Tanzania kwa ujumla bila kuja na mipango mkakati wa kuwakwamua raia?
Kuendelea kubakia na mamlaka kwa kila njia na kuwa mkoloni mweusi?
Ukatili upi umefanyiwa?..Je, tulijikomboa ili Tanu na baadae Ccm ije ifanye ukatili dhidi ya wengine?
..Ukatili wa Ccm dhidi ya wapinzani sio unyama?
..Kwanini sheria zinafanya kazi dhidi ya wapinzani tu, na hatuoni Ccm wakichukuliwa hatua kupitia sheria hizo?
..Hivi inaingia akilini sheria ya uchaguzi kwa miaka 30 imeengua maelfu ya wagombea wa upinzani, lakini haijawahi kuengua mgombea hata mmoja wa Ccm?!
..Kwa maoni yangu sheria hiyo ni ya kinyama, au wanaoitekeleza na kuisimamia wana tabia za kinyama.
Lengo ni kushika Dola hatukatai
Ila nini malengo baada ya kushika Dola?
Vipi ni vipaumbele vyao?
Kwa miaka 60 wamefanikiwa nini?
Maana hata uliokuwa mji wao mkuu ni hovyo hovyo tu.
Hutachelea kusema pia niende nikasome katiba ya Jamhuri ya mwaka 1977Nenda kasome katiba ya CCM utapata majibu yako yote haya. Au unataka nikutafunie?
Zipo nguvu nyingi walizozionyesha[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani hujui nguvu ya chama cha siasa? Unataka nianze kukufundisha vitu hivi vidogo vya chekechekea?
Ukiona inafaa unaweza kuisoma vilevile lakini mimi nimekupatia test ndogo tu ya kusoma katiba ya Chama Dola. Kama unashindwa nitakupatia ABCHutachelea kusema pia niende nikasome katiba ya Jamhuri ya mwaka 1977
Je yaliyopo kwenye katiba ya Jamhuri wanayatekeleza? Kama katiba hawaifuati ambayo ndio dira ya nchi?
Watafuta na kutekeleza katiba ya chama?
Ambayo Leo hii Makamba mzee kasema wameandika wenyewe na kukengeuka kumtaja bi mkola ndio mgombea pekee?
Kama Katiba ya nchi hawaifuati:
Iliyotoa haki za raia ikiwemo na kujumuika, unataka nikahangaike ili nipate nini?
Niridhike wapi?..kauli mbiu ya Mwalimu Nyerere ktk uchaguzi wa kwanza mwaka 1958 ilikuwa Tanu inataka Wakoloni waondoke kwasababu wametuweka ktk ujinga, maradhi, na umasikini.
..Je, tangu wakoloni waondoke na Tanu na Ccm waingie ujinga, maradhi, na umasikini, umeondoka Tanzania?
..Unaridhika na hali ya nchi kisiasa, kiuchumi, na kijamii, miaka 61 tangu tupate uhuru?
Hebu zitaje hizo nguvu za chama cha siasa.Zipo nguvu nyingi walizozionyesha[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana nikakuuliza?
Nashangaa sasa hao unaowaita wajinga ndio wanaokutawala. Sasa CCM na wewe nani mjinga?Niridhike wapi?
Kwanza hata hao viongozi wao wa kijani wengi ni wajinga tu wakielezea mambo mbalimbali ya nchi.
..viongozi wa CCM kuishi maisha ya anasa na fahari kwa kodi zetu, huku wananchi wakiteseka ktk umasikini sio ukatili?Ukatili upi umefanyiwa?
Je kuwekwa mahabusu ndio ukatili?..wapinzani kuwekwa mahabusu bila makosa sio ukatili?
..viongozi wa upinzani na wafuasi wao kufunguliwa kesi na kufungwa kwa mashtaka ya uongo sio ukatili?
..viongozi na wafuasi wa upinzani kutekwa, kushambuliwa, kupigwa marisasi, sio ukatili?
..kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani huku ya Ccm ikiruhusiwa sio dhuluma, sio ukatili?
Nguvu?Hebu zitaje hizo nguvu za chama cha siasa.
Mzee akili ulizonazo zinakutosha wewe pekee yako. Usijifananishe na wengine. CCM ni chama dola. Kinatumia akili kubwa kukufanya wewe uwe hapo ulipo.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa hayo unayasema wewe. Lakini nilichokuambia kuwa hakuna chama chenye nguvu kupita CCM hapa barani Africa. Mengine unayoyasema ni nyongeza tu.Nguvu?
Kwa maana ipi?
Uungwaji mkono na raia au kutumia mabavu , hila, fitna na majeshi kubaki madarakani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Bado mjinga atabaki kuwa mjinga tu.Nashangaa sasa hao unaowaita wajinga ndio wanaokutawala. Sasa CCM na wewe nani mjinga?
Unaelewa hata maana ya akili kubwa?Mzee akili ulizonazo zinakutosha wewe pekee yako. Usijifananishe na wengine. CCM ni chama dola. Kinatumia akili kubwa kukufanya wewe uwe hapo ulipo.
Na Mimi nakwambia CCM halina nguvu hasa inazotakiwa iwe nazo kama chama Cha siasa.Sasa hayo unayasema wewe. Lakini nilichokuambia kuwa hakuna chama chenye nguvu kupita CCM hapa barani Africa. Mengine unayoyasema ni nyongeza tu.
Je kuwekwa mahabusu ndio ukatili?
Kesi gani wamefunguliwa? Mbona Mbowe amewafungulia akina Halima Mdee?
Kwahiyo Mbowe ni katili dhidi ya wanawake?
Hakuna haki kwenye katiba imesema kufanya mikutano.
Sasa kama wameweza kuwa madarakani kukuzidi wewe mwenye akilli. Maana yake huna mbinu za kuwazidi. Wewe endelea tu kuwa na akili hizo maana zinakutosha wewe pekee yako.Bado mjinga atabaki kuwa mjinga tu.
Wapo madarakani sio kwa nguvu ya hoja Bali kwa mambo mengine ambayo ninyi chama dola mnayajua na kuyafanya.
Wapo madarakani sio kwa lengo la kuipeleka m ele nchi Bali kwa ajili ya matumbo yao yaani yeye na kizazi Chao.
Wapo madarakani kwa sababu ya kundi kubwa la Watanzania ni wajinga na kushindwa kung'amua mambo.