Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwani hujui nguvu ya chama cha siasa? Unataka nianze kukufundisha vitu hivi vidogo vya chekechekea?Nguvu?
Kwa maana ipi?
Uungwaji mkono na raia au kutumia mabavu , hila, fitna na majeshi kubaki madarakani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Au kuendelea kuidunisha Tanganyika na Tanzania kwa ujumla bila kuja na mipango mkakati wa kuwakwamua raia?
Kuendelea kubakia na mamlaka kwa kila njia na kuwa mkoloni mweusi?