Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
lkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …
Yes na wanajifanya watu wa haki na demokrasia kumbe ni matapeli tu.Sana, na tawala zao zinakuwa mbovu sana na dhaifu na mafisadi huwa wanazifurahia kama nini.
Maana huwa wanaiacha nchi inakuwa shamba la bibi kila mtu anajichumia tu kwa urefu wa kamba yake na nguvu aliyonayo bila hofu yoyote.
Sisi tunajua shule zilijengwa kwa usimamizi wa Lowasa aliyekuwa waziri mkuu wa JK.
Hayo mambo ya Mkapa unayajua mwenyewe labda kama unazungumzia wizi wa pesa za EPA.
Siku hizi Kikwete anadai kila mradi alianzisha yeye.. Ikulu ya Dom, SGR, Bwawa la Nyerere etc..siyo kweli, mbona kila kitu kiko wazi labda kama hautaki tu kuelewa sababu ya kuelemewa na “mahaba”, kwani aliyenegotiate sisi kusemehewa deni Paris Club ni nani? au kilikuwa kipindi cha nani kwani ndiko fedha za kujengea shule za Kata nchi nzima zilikotoka au unafikiri fedha zilitokea wapi ?
Mkapa hajawahi kujenga shule za katalkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …
Matusi na hoja ni vitu mbalimbali. Sijaona ufisadi zaidi ya speculation zako ulizotoa kwa wanasiasa uchwara. Escrow? Unajua maana ya escrow? Jitahidi kupata taarifa zilizo sahihiKwamba haujui ufisadi uliofanywa na hao watu hapo?
Hivi ule ufisadi wa Escrow baba yako kikwete hakuwemo?
Vipi na hizi hela anazotumia. ABDUL(mtoto wa Samia) kuwahonga akina Ezekiel Wenye anatoa wapi? Mfukoni mwaka sio?
Mjinga sana wewe,
Mkapa hajawahi kujenga shule za kata
Dogo....hizo shule nyingi zimejengwa na wananchi kwa msaada wa serikali kidogo. At least ungetaja Lowasa kwa sababu ndio alisimamia hilo zoezi kikamilifu. Mkapa hajui chochote na hakuhusika chochote na shule za kata.unajua kwa nini kwanza hata Shule za Kata zilianza kujengwa nchi nzima? tena nyingi kwa wakati mmoja?
Siku hizi Kikwete anadai kila mradi alianzisha yeye.. Ikulu ya Dom, SGR, Bwawa la Nyerere etc..
Dogo....hizo shule nyingi zimejengwa na wananchi kwa msaada wa serikali kidogo. At least ungetaja Lowasa kwa sababu ndio alisimamia hilo zoezi kikamilifu. Mkapa hajui chochote na hakuhusika chochote na shule za kata.
Yani reference ya kupata information ni kitabu cha kabendera?Unataka aendelee kufanya kazi ya Urais?
Hujui kuwa Jiwe alitaka kumtengenezea kesi feki ya kutaka kupindua serikali ili ammalize?, Nenda kasome kitabu cha Kabendera utaikuta hiyo!
Nauhakika angekua anaishi, Wasinge shika uongozi mpaka sasaKipindi nyerere anawakataa wasishike wadhifa wa uraisi watu walikuwa hawajamuelewa ila sasaivi wataelewa nyerere alikuwa anamaanisha nini
Endelea kumchukia JKsiyo kweli mnadanganywa sana na wanasiasa, ngoja nikupe darasa, shule za kata nchi nzima zilijengwa kwa fedha ambazo Tanzania ya wakati huo ilizipata baada ya kusamehewa madeni na kilichojulikana kama the Paris Club, na masharti yalikuwa hizo fedha ziende kwenye kupunguza umaskini na kuwekezwa kwenye elimu na ndiyo maana zilijengwa kwa mkupuo na watoto kufurika shuleni, kwa kifupi shule za Kata zilijengwa kwa fedha zilizopatikana Paris Club baada ya sisi kusamehewa deni, kila kitu kiko wazi unahitaji kusoma tu na kujielimisha, vinginevyo utadanganywa na kutumiwa na wanasiasa kila siku …
Hata Nyerere angekuwepo asingeweza kuudhibiti mtandao huo hatari .. walifanikiwa kupenya sawasawa ndani ya CCM,Usalama wa Taifa hadi jeshini..walijipenyeza mpaka kwenye vyombo vya habari vya nje km BBC ya Tido wakawa na machawa.. maana mwanzilishi wa uchawa nchini ni Kikwete.. nchi nzima ikaimbishwa sifa hewa za Kikwete kabla hata ya kuingia madarakani.. na Mwishoni mwa utawala wa Mkapa mtandao huo ulimzidi nguvu Mkapa akawa rais kivuli tu.. Rejea uchotwaji wa pesa pale BOT kwenye akaunti ya EPA..Nauhakika angekua anaishi, Wasinge shika uongozi mpaka sasa
Endelea kumchukia JK
Shule za kata zimeanza mwaka 2004 Rais alikuwa Nani?Mkapa hajawahi kujenga shule za kata
Lete story ya Nyerere kutapeliwa. Na kama alitapeliwa kosa lake liko wapi. Bado alikuwa Rais, madini , mazao, wanyama, na rasilimali zote zilikuwa chini yake, angeamua kutajirika atakavyo. Nasimama na Nyerere mpaka mwisho ya kuwa alikuwa mzalendo halisi. Alipostaafu 1985 alichangiwa zawadi kila Wilaya akazikataa. Lete uzushi mwingine,,, kumchafua Nyerere huwezi hata kwa bahati mbaya.Nyerere huyo aliye tapeliwa na muhindi aliye kimbilia uingereza?
Kumbe nime sema nina lengo la kumchafua!, wakati mwema.. kumchafua Nyerere huwezi hata kwa bahati mbaya.
Fafanua mkuuNaambiwa pale kwenye deathbed alikuwepo mtu akatoka pembeni mara moja akaenda kuwapigia simu CIA halafu akarudi tena pale.