Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
lkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …

Sisi tunajua shule zilijengwa kwa usimamizi wa Lowasa aliyekuwa waziri mkuu wa JK.

Hayo mambo ya Mkapa unayajua mwenyewe labda kama unazungumzia wizi wa pesa za EPA.
 
Sana, na tawala zao zinakuwa mbovu sana na dhaifu na mafisadi huwa wanazifurahia kama nini.

Maana huwa wanaiacha nchi inakuwa shamba la bibi kila mtu anajichumia tu kwa urefu wa kamba yake na nguvu aliyonayo bila hofu yoyote.
Yes na wanajifanya watu wa haki na demokrasia kumbe ni matapeli tu.
 
Sisi tunajua shule zilijengwa kwa usimamizi wa Lowasa aliyekuwa waziri mkuu wa JK.

Hayo mambo ya Mkapa unayajua mwenyewe labda kama unazungumzia wizi wa pesa za EPA.

siyo kweli, mbona kila kitu kiko wazi labda kama hautaki tu kuelewa sababu ya kuelemewa na “mahaba”, kwani aliyenegotiate sisi kusemehewa deni Paris Club ni nani? au kilikuwa kipindi cha nani kwani ndiko fedha za kujengea shule za Kata nchi nzima zilikotoka au unafikiri fedha zilitokea wapi ?
 
Siku hizi Kikwete anadai kila mradi alianzisha yeye.. Ikulu ya Dom, SGR, Bwawa la Nyerere etc..
 
lkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …
Mkapa hajawahi kujenga shule za kata
 
Kwamba haujui ufisadi uliofanywa na hao watu hapo?

Hivi ule ufisadi wa Escrow baba yako kikwete hakuwemo?

Vipi na hizi hela anazotumia. ABDUL(mtoto wa Samia) kuwahonga akina Ezekiel Wenye anatoa wapi? Mfukoni mwaka sio?

Mjinga sana wewe,
Matusi na hoja ni vitu mbalimbali. Sijaona ufisadi zaidi ya speculation zako ulizotoa kwa wanasiasa uchwara. Escrow? Unajua maana ya escrow? Jitahidi kupata taarifa zilizo sahihi
 
unajua kwa nini kwanza hata Shule za Kata zilianza kujengwa nchi nzima? tena nyingi kwa wakati mmoja?
Dogo....hizo shule nyingi zimejengwa na wananchi kwa msaada wa serikali kidogo. At least ungetaja Lowasa kwa sababu ndio alisimamia hilo zoezi kikamilifu. Mkapa hajui chochote na hakuhusika chochote na shule za kata.
 
Siku hizi Kikwete anadai kila mradi alianzisha yeye.. Ikulu ya Dom, SGR, Bwawa la Nyerere etc..

hiyo ni kawaida ya watu aina hiyo, mtu akiorodhesha mambo ambayo B.Mkapa amefanya nchi hii wengi watashangaa, Uongozi wa B.Mkapa ni unaweza kuuita wa kimapinduzi in a positive way, karibia kila shirika linafanya vizuri leo hii nchi hii ni kazi ya uongozi wa B.Mkapa kuanzia banking industry mpaka TRA kama tuijuavyo leo hii, hii, lkn mwenyewe alikuwa kimya tu ..
 
Dogo....hizo shule nyingi zimejengwa na wananchi kwa msaada wa serikali kidogo. At least ungetaja Lowasa kwa sababu ndio alisimamia hilo zoezi kikamilifu. Mkapa hajui chochote na hakuhusika chochote na shule za kata.

siyo kweli mnadanganywa sana na wanasiasa, ngoja nikupe darasa, shule za kata nchi nzima zilijengwa kwa fedha ambazo Tanzania ya wakati huo ilizipata baada ya kusamehewa madeni na kilichojulikana kama the Paris Club, na masharti yalikuwa hizo fedha ziende kwenye kupunguza umaskini na kuwekezwa kwenye elimu na ndiyo maana zilijengwa kwa mkupuo na watoto kufurika shuleni, kwa kifupi shule za Kata zilijengwa kwa fedha zilizopatikana Paris Club baada ya sisi kusamehewa deni, kila kitu kiko wazi unahitaji kusoma tu na kujielimisha, vinginevyo utadanganywa na kutumiwa na wanasiasa kila siku …
 
Unataka aendelee kufanya kazi ya Urais?

Hujui kuwa Jiwe alitaka kumtengenezea kesi feki ya kutaka kupindua serikali ili ammalize?, Nenda kasome kitabu cha Kabendera utaikuta hiyo!
Yani reference ya kupata information ni kitabu cha kabendera?
Hivi watanzania tumerogwa na nani?
 
siyo kweli mnadanganywa sana na wanasiasa, ngoja nikupe darasa, shule za kata nchi nzima zilijengwa kwa fedha ambazo Tanzania ya wakati huo ilizipata baada ya kusamehewa madeni na kilichojulikana kama the Paris Club, na masharti yalikuwa hizo fedha ziende kwenye kupunguza umaskini na kuwekezwa kwenye elimu na ndiyo maana zilijengwa kwa mkupuo na watoto kufurika shuleni, kwa kifupi shule za Kata zilijengwa kwa fedha zilizopatikana Paris Club baada ya sisi kusamehewa deni, kila kitu kiko wazi unahitaji kusoma tu na kujielimisha, vinginevyo utadanganywa na kutumiwa na wanasiasa kila siku …
Endelea kumchukia JK
 
Nauhakika angekua anaishi, Wasinge shika uongozi mpaka sasa
Hata Nyerere angekuwepo asingeweza kuudhibiti mtandao huo hatari .. walifanikiwa kupenya sawasawa ndani ya CCM,Usalama wa Taifa hadi jeshini..walijipenyeza mpaka kwenye vyombo vya habari vya nje km BBC ya Tido wakawa na machawa.. maana mwanzilishi wa uchawa nchini ni Kikwete.. nchi nzima ikaimbishwa sifa hewa za Kikwete kabla hata ya kuingia madarakani.. na Mwishoni mwa utawala wa Mkapa mtandao huo ulimzidi nguvu Mkapa akawa rais kivuli tu.. Rejea uchotwaji wa pesa pale BOT kwenye akaunti ya EPA..
 
Endelea kumchukia JK

ni wapi nimemchukia? raisi kikwete amejenga udom na huo ni ukweli, ni university kubwa tanzagiza na ikikamilika itakuwa labda moja kati ya univeristies kubwa afrika, lkn kama unaamini kabisa kwamba shule za kata zilizojengwa nchi nzima na kila kata msingi na sekondari zilijengwa kwa michango ya wananchi, basi unadanganywa sana, labda ungejiuliza au hata waulize kwenye kata yako wananchi ni lini walijenga kwa michango yao shule za msingi na sekondari zilizopo hapo? nenda vijijini karibia kila kijiji huko kuna shule za msingi na sekondari, waulize wanakijiji ni lini walichangia kujenga hizo shule?

knowledge is power, ukiwa msomaji mzuri utapata uelewa wa mambo mengi na itakusaidia kutofautisha kati ya wanachokwambia majukwaani na ukweli halisi …
 
Nyerere huyo aliye tapeliwa na muhindi aliye kimbilia uingereza?
Lete story ya Nyerere kutapeliwa. Na kama alitapeliwa kosa lake liko wapi. Bado alikuwa Rais, madini , mazao, wanyama, na rasilimali zote zilikuwa chini yake, angeamua kutajirika atakavyo. Nasimama na Nyerere mpaka mwisho ya kuwa alikuwa mzalendo halisi. Alipostaafu 1985 alichangiwa zawadi kila Wilaya akazikataa. Lete uzushi mwingine,,, kumchafua Nyerere huwezi hata kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom