Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
lkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …
Sisi tunajua shule zilijengwa kwa usimamizi wa Lowasa aliyekuwa waziri mkuu wa JK.
Hayo mambo ya Mkapa unayajua mwenyewe labda kama unazungumzia wizi wa pesa za EPA.