Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.
Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️