Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

Samia alishawahi kisema ata msipoichagua sisiemu ndio itakayounda serikali 😀 nadhan ilikua ni kwenye kampeni za 2020

kwa kauli ile tu ilikua itoshe kuwazindua watanganyika na kugomea kushiriki uchaguzi kipindi kile kile cha 2020

matokeo yake tanganyika nzima upinzni ulipata jimbo 1 tu 🤣
 
CCM ni mashetani
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
Wewe kasome sheria kwa kilatini,nadhani ndio ninyi msio jua sheria lakini ni wanasheria.
Mwisho nenda kwa Sam Atman akupunguzie makamasi,kwani hata Akili Bandia lifespan ipo karibu,so sad.
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
NO REFORMS NO ELECTION HESABU ZETU TUNAZIFUNGIA HAPO.TUKUTANE KWENYE MABADILIKO.
 
Back
Top Bottom