Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

Malsahi yapi ya Taifa? Kina Mchengerwa na Abdul kukwapua fedha za Umma na kujitajirisha binafsi ndo maslahi ya Taifa?

Viongozi kujilimbikizia mali na ukwasi huku wananchi wengi tukizidi kuwa masikini ndo maslahi ya Taifa?

ili kupambana na hayo mambo inabidi twende na mwendo huu mpaka 2030
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
Naunga mkono hoja
 
Kweli kabisa. Ukiwa na akili timamu huwezi kupiga kura kwenye hili Taifa.
Wendawazimu, vichaa, wehu, wenye iq ndogo, wapumbavu, wajinga na wapuuzi wengine ndio wataenda kupiga kura. Unaendaje kupiga kura wakati kura yenyewe haiheshimiwi? Unaona kabisa mshindi tayari yupo halafu unaenda kupoteza muda kupanga foleni upige kura, huo ni uendawazimu na matatizo ya ubongo. Ujaguzi umejaa abrakadabra nyingi nani ataenda kupiga kura?
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
Oktoba Tunatiki ✔️
 
Kwa kweli kwenda kubariki uhuni wa wanamtamdao wa CCM, ni lazima wewe nawe uwe kwenye makundi haya makundi matatu:

1. Na wewe uwe mhuni kawa wao
2. Uwe maskini kabisa wa akili
3. Uwe mtu asiye na maadili kabisa ambaye upo tayatikuutumikia uovu wowote ule alimradi ushibishe tumbo lako.
 
Watusahau kwenye vituo vya kupiga kura kwa kweli
 
Back
Top Bottom