Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

Hakuna uovu ambao unakosa waungaji mkono. Waovu na waunga mkono uovu, wote watatick.

Lakini wenye Roho wa Mungu kamwe hawawezi kukubali kuwa sehemu ya huo uovu.
Hii mikwara yenu imekuwapo miaka yote ya Uchaguzi Mkuu. Tena mikwara yenu ni ya kitoto kuzidi ya vipindi vilivyopita
 
Hii nchi ina wapumbavu wengi wewe umesema hupigi kura, sasa wanaopiga kura wewe inakuhusu nini??
 
Atakua ni chizi kabisaa.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tuache kupiga kura kwasababu ya upumbavu wako.Au hii nchi atakuja kuongoza babu yako.
 
kwani mnafikiri hii nchi haina wanachama wa ccm au? kwa sababu wewe ni upinzani wote tukufuate wewe? wakutiki tutatiki, na nyie msitiki. wengi ndo watashinda.

kidogo nisahau aisee, taahira mwenyewe
Hawa wapuuzi wanataka kuleta siasa kwenye maisha ya watu.
 
Labda nikuoneshe ulivyo juha na tahira.

Niambie tu mwenyewe kama mifumo yote mmeichakachua kuwapa ushindi unaenda kupiga kura ili iweje? Ufaidike na nini? Upate nini?
Muache aende kupiga kura wewe ulale kila mtu anamifumo yake ya maisha,aende au asiende hiyo ni juu yake huna haja ya kumpangia kamwe,fanya yako!!
 
Hawa wa simiyu watakuelewa kweli?? Wamepewa baiskeli 🤣🤣
 
Hapo ata km usipoenda kutick lzm CCM watashinda tu maana wanatumia nida yako unpigishwa kura automatically
 
nyumbu hawakosi
downloadfile.jpg
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
MAADUI WA TAIFA NDIYO WATAKWENDA KUMPIGIA KURA SAM9A NA CCM NAO NI BAKWATA NA AK9NA ROSTAM AZIZI
 
Hapo ata km usipoenda kutick lzm CCM watashinda tu maana wanatumia nida yako unpigishwa kura automatically
Ndo mana kama binadamu tulioumbwa na Mungu tunajiuliza tukapige kura ili iweje?
 
Back
Top Bottom