Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️
Upo sahihi kabisa. Wajinga ndiyo watatiki
 
Kwahio katika maisha yako ya Upigaji Kura ulikuwa unadhani kweli kwamba your Vote Matters na ni wewe ndio unayemchagua mtawala wako ?!!!!

Demokrasia imekuwa na faida moja tu kuu (watu kuamini kwamba wao ndio wanachagua kwahio ni makosa yao vitu vikienda ndivyo sivyo) Kwahio kuwa na Amani...

Ndio maana watu tulishaona haya zamani sana kuhusu hivi tamthiliya...

Wendawazimu, vichaa, wehu, wenye iq ndogo, wapumbavu, wajinga na wapuuzi wengine ndio wataenda kupiga kura. Unaendaje kupiga kura wakati kura yenyewe haiheshimiwi? Unaona kabisa mshindi tayari yupo halafu unaenda kupoteza muda kupanga foleni upige kura, huo ni uendawazimu na matatizo ya ubongo. Ujaguzi umejaa abrakadabra nyingi nani ataenda kupiga kura?
 
Wewe ndo hutaenda kwa itikadi ya chama chako ila sisi ambao CCM kindakindaki tutapiga kura kwa wakati sahihi.

Hata wanaCCM, wengine nilikuwa nao jana, wengi wenye akili timamu na wanaochukia ushetani unaofanywa na watu walioiteka CCM, walikuwa wanasema wazi kabisa kuwa hawaendi kupiga kura, maana kwa hali ilivyo itakuwa ni upumbabu upoteze muda wako kwa kitu ambacho kushiriki au kutoshiriki hakubadilishi chochote.

Kwa umla, ni zazima uwe huna akili kabisa, kwenda kushiriki huu ushetani wa mwaka huu. Ushetani huu umedhihirishwa mwaka 2024 na unaendelea mwaka huu 2025. Tulidanganyika sana kuamini huyu wa sasa ni muungwana mwenye utu kumbe ni shetani mbaya kupindukia kuliko yeyote aliyewahi kuwepo katika Taifa letu.
 
Sanduku la kura likiheshimiwa kura zitakuwa na thamani kwa kuwa demokrasia inaheshimiwa. Hapa kila raia ataona umuhimu wa kupiga kura kama matokeo yataheshimiwa
 
Chadema kunyeni mlale, uchaguzi hauwahusu. Ccm wako 15m wanatosha kujipigia kura wakaendelea kutawala nyie maiti.
Ungejua kwamba kwa mawazo hayo wewe ndio maiti inayotembea, fuvu lililojaa mavu, akili mgando, wala usingeandika hivi. Mtu mwenye utimamu wa akili, asiyeishi ili kushibisha tumbo, hawezi kuwaza kama wewe...
 
Kususa ni tabia siyo akili, Mbowe alikuwa na akili wewe fuata tabia za Lissu kama huna akili.
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election [emoji110]️[emoji3577]
Wengi wa watu wanao piga kura ni
1. Wazee wasio na uwezo na wenye umskini wa kutupwa.

2. Wanawake Maskini na wajane au wasimbe.

3. Wanachama wa ccm damu damu na wanao lipwa posho.

4. Watu wenye ushabiki juu ya mtu fulani ( Timu mavunde au Timu Ridhwan)

HIVYO NJIA NJINGINE NZURI NI KUTOA ELIMU KWA HAYO MAKUNDI MANNE.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
hadi hapa tulipofika --- ushindi wa ccm hii ya SSH ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa hili
 
View attachment 3451068

Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.

Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.

Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election ✊️✌️

Mimi nilipiga kura 2015 tu ,walivyochakachua matokeo nikaachana na kupoteza muda.

Sitopoteza muda tena mpaka waondoe makebo yanayotoka sisiemu kwenda nec na nida.
 
hadi hapa tulipofika --- ushindi wa ccm hii ya SSH ni muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa hili
Malsahi yapi ya Taifa? Kina Mchengerwa na Abdul kukwapua fedha za Umma na kujitajirisha binafsi ndo maslahi ya Taifa?

Viongozi kujilimbikizia mali na ukwasi huku wananchi wengi tukizidi kuwa masikini ndo maslahi ya Taifa?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom