Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
View attachment 3451068
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.
Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election βοΈβοΈ
Chadema kunyeni mlale, uchaguzi hauwahusu. Ccm wako 15m wanatosha kujipigia kura wakaendelea kutawala nyie maiti.View attachment 3451068
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.
Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election βοΈβοΈ
Wewe ndo hutaenda kwa itikadi ya chama chako ila sisi ambao CCM kindakindaki tutapiga kura kwa wakati sahihi.View attachment 3451068
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.
Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election βοΈβοΈ
Watathibitisha tu kuwa kweli ni matahira au wana mtindio wa ubongo.Wanaccm wataenda ili kuonyesha kuunga mkono hali iliyopo.
Labda nikuoneshe ulivyo juha na tahira.Wewe ndo hutaenda kwa itikadi ya chama chako ila sisi ambao CCM kindakindaki tutapiga kura kwa wakati sahihi.
Viongozi wa mashina hadi juu,watawajibika kuwaswaga wananchi kwenda kupiga kura ili kuhalalisha.Ujinga haujawahi kuisha.Watathibitisha tu kuwa kweli ni matahira au wana mtindio wa ubongo.
Kama mifumo yote wameshaichakachua ili washinde kuna haja gani ya kupiga kura?
Kitakachokuwa kinafanyika ni kujustify watu fulani wapate posho za kufanya na kusimamia uchaguzi ambalo hilo pia ni ujuha uliotukuka.
Nisipopiga kura Watanifanya nini?Viongozi wa mashina hadi juu,watawajibika kuwaswaga wananchi kwenda kupiga kura ili kuhalalisha.Ujinga haujawahi kuisha.
Ndo hapo sasa.Kwanza kampeni zenyewe hazina hata mvuto..
Yani uende kwenye kampeni kufanya nini hasa!
Yaaani nipange mstari sehemu ambayo hata nikikaa nyumbani Tume wameshachukua Taarifa zangu na kunipigisha kura???πππUko sahihi kabisa, ni mwendawazimu tu ndo ataenda kupanga mstari
View attachment 3451068
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey Polepole kuwa mfumo wetu wa Uchaguzi umeunganishwa moja kwa moja na mifumo ya Chama cha Mapinduzi pamoja na NIDA ili kukibeba Chama cha Mapinduzi kwenye chaguzi huku akiomba radhi kwetu Watanzania kutokana na kushiriki kutengeneza mfumo huo naomba tu niseme kuwa UKIMUONA MTU ANAENDA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA BASI UJUE NI TAHIRA NA ANA MTINDIO WA UBONGO.
Muwe na Jumapili Njema
No Reforms No Election βοΈβοΈ
Unaenda kupiga kura na nani?Tutaenda kupiga, nyie mapunguani endeleeni tu na porojo mitandaoni..