Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa


Sasa hii si hatari kwa upande wake
 
Je kama atafika kesi itaendaje?
KWanza amini hatofika! na akifika atadhalilishwa kwa maswali ya kisheria ya Lissu kumbuka mama hajasoma! Elimu yake ndio ivo yaku unga unga tu kwenye uzoefu wa kazi, lakini pia mama anawahi kupanic sio mtulivu kabisa we angalia hata akiwa anahojiwa na waandishi wa habari sasa umpeleke kwa lisu mtu mwenyewe richa ya kujua sheria lakini anakipaji cha dharau!
 
Hii kesi wanaichukulia poa ile imeshakaa vibaya sana
 
Ushahidi wa video umetupiliwa mbali mapema, kwa hiyo kukutwa na kesi ya kujibu ni kutokana na siasa, kama hata hilo hulitambui, pole nyingi sana kwako.
 

Is just a strategy regardless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…