Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Angetafuta hard way nyingine lakini siyo hiyo ya kumkosea heshima shemeji yake
Mleta mada ametumia fasihi simulizi ambayo ni fikirishi kufikisha ujumbe wake.

Ukisoma andiko lake kwa utulivu Kuna mengi ya kufundisha, kuonya, kukanya na kuchekesha pia. Kwa ufupi ameitendea haki fasihi katika kufikisha ujumbe.
 
All in all mimi kama mtu sio ndugu niliye zaliwa naye tumbo moja kamwe hawezi kuja kuishi kwangu...
Nimekuwa tangu utoto hadi saahizi jizee sijawahi ona ndugu waliokuwa msaada kwa wazaz wangu, wakati wazazi wangu wamelea na kusomesha ndugu jamaa na marafiki wengi.
 
ingawa story yako ya kupika...ila inaonekana HIZO GARI MBILI,YA KWAKO NA MOJA YA MKEO UNAZOOSHAGA NDIO ZINAKUPA KIBURI (kama kweli)😁 Na pasi na kumwemwesa maneno MKEO ANAPITIA CHANGAMOTO KUBWA ZA UNYANYASAJI NA DHEREU kisa UGALI, HUWEZI MSHIKA MATAKO KAKA WA MKEO...na huyo dogo ni MQUNDU TU, (kama kweli ni kweli) Alitakiwa aweke chumvi kwenye hizo GARI😎
 
Mtu unayemsaidia kodi si unamwona tu anavyojibiidisha? Nakuambia anaamka hata kusaidia kazi yoyote ya kiume hawezi. Hakuna anachofanya. Ni kupoteza tu pesa.
Huyo angezidi kubaki hapo angepotea jumla, na alikuwa hivyo kwa sababu kila anachokitaka anakipata kwa uhuru kabisa.
 
Ukija kuwa tajiri utasaidia watu kweli? Kama unapata ridhiki ishi naye tu ,atajiongeza mwenyewe maisha ni magumu sana.
Ni kulea ujinga unakuwa hujamsaidia zaidi ta kutengeneza tegemezi
 
Nadhani ilipaswa kumwambia kabisa moja kwa moja alivyo fika tu unamwambia jishikize miezi kadhaa uangalie cha kufanya.. wanaume wawili watu wazima kupishana pishana nyumba moja haikai vizuri. Na haileti heshima.
 
Chai.
 
Huo sasa ndio.uislam
 
mwaka wa 7 huu kwa shemeji na hamna tatizo...
 
Ahh kmmk πŸ™Œ
 
Hivi nyinyi mnaokaaga kwa dada zenu sehemu walipoolewa wakati nyumbani kwenu kupk na wazazi wapo huwa mnawezaje?
Mimi sehemu alipoolewa mdogo wangu wa kike siwezi kaa hata wiki, siku moja tu yenyewe sidhani kama naweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa huwa nawashangaa sana wale mnaokaa kwa shemeji zenu hata miaka, duh! Kweli watu tunatofautiana mitazamo na ugumu wa roho.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Utajiri ni nini? Na kwa ajili ya nani? Na unajuaje mtu ana au hana utajiri? Mi naishi na ninayeweza au paswa ishi naye.
Ndugu kuja kumtembelea dada yao sio kitu kibaya lakini wasikae sana unakuwa ni kama ulioa ukoo mzima buana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungemtafutia mradi wako auendeshe, halafu yeye akawa cheap labour.
 
Mkuu hukufanya sahihi, kama mtu mzima na hekima zake ungemueleza ukweli tu na kuongea naye ana kwa ana.
Njia ulizotumia sio za busara hata kidogo.
Ulitakiwa utumie busara tu mambo yangeeleweka.
Kama unatumia njia hizo duh sijui hata wanao unawaelekeza nini kuhusu kitu busara na hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…