Ndiyo nao wajifunze kuwa na adabu wanapokaa kwenye familia za watu! Mimi kwa kila hatua aliyochukua GuDume naiunga mkono! Ningemlaumu tu kama hiyo ng'ombe ingekuwa imeondoka kwake kwa uonevu!Njia ya kumfukuza mtu kwa kuutweza utu wake wewe unaona ni sahihi? Tena ni mwanaume mwenzie
Kama naliona li GuDume linavyopapasa kalio ya shemeji! Lakini hata kama angeenda kushitaki nyumbani kwao jamaa si lingejitetea kwamba lilikuwa linataniana na shemeji yake?Mkuu hukufanya sahihi, kama mtu mzima na hekima zake ungemueleza ukweli tu na kuongea naye ana kwa ana.
Njia ulizotumia sio za busara hata kidogo.
Ulitakiwa utumie busara tu mambo yangeeleweka.
Kama unatumia njia hizo duh sijui hata wanao unawaelekeza nini kuhusu kitu busara na hekima.
Lipo tu linasubiria ajira za saa100? Pumbavu kabisa!Lengo lake nligundua yule bwege awe anapiga misele na gari nliyomnunulia dada ake. Ana degree kabisa. Na nyumbani hafanyi kazi yoyote ile. Imagine anaota kitambi kabisa na kunenepa makalio.
Hawaelewagi hao ndio maana aliitisha kikao , na anaweza kukujibu hapa kwa sister , niliwahi kudeal na mmoja alikuwa anapiga mziki mpaka saba usiku kwa sauti kubwa kibaya zaidi akaanza kula house girlMkuu hukufanya sahihi, kama mtu mzima na hekima zake ungemueleza ukweli tu na kuongea naye ana kwa ana.
Njia ulizotumia sio za busara hata kidogo.
Ulitakiwa utumie busara tu mambo yangeeleweka.
Kama unatumia njia hizo duh sijui hata wanao unawaelekeza nini kuhusu kitu busara na hekima.
Umefanya ujinga. Kuwa mwanaume mzee. Huo mzunguko wote wa niniDogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.
Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri chakula cha mchana. Hapa kuna bustani hata kumwagia hawezi.
Mimi nguo zangu nanyoosha mwenyewe. Gari sometimes weekend naosha yangu na ya mke wangu. Dogo anacheck mpira au movie.
Nikaona nimwambie dada yake. Kuwa sasa aangalie mdogo wake atafanya shughuli gani maana sasa anaweza pata magonjwa ya uzembe. Akasema akajisomee udereva. Nikanyamaza. Siku 2 anakuja kuwa shem naomba lakhi 400,000 nmepata driving school.
Sikumjibu kitu. Baada ya week nipo room anakuja dada yake kuniambia Ommy anasema kuna kikao twende sebuleni. Nlimtizama na kumuuliza nani katoa kibali cha kuitisha kikao ndani mwangu? Tena kwa kunipa mwaliko mimi mwenye nyumba? Dada yake akaongea ongea nikanyamaza.
Sasa last week nmerudi nmemkuta kakaa sofani na nikamshika kichwani akageuka.. nikamwambia nlidhania ni mke wangu(dada yake)
Kuna siku nikamkuta kwenye friji nikamshika makalio. Akashtuka. Nami alivyogeuka nikashangaa... Nikamwambia. Asiee.... Nlidhani ni Aisha... (Dada yake) Nlimwambia umekaa sana na dada yako mpaka sasa mnafanana. Alikasirika akaja sema kwa dada yake. Dada yake hakuniuliza kitu.
Nlisema moyoni siku hiyo ntamwita aje amshike dada yake miguu. Ajue nimemchoka. Anaota kitambi nyumbani kwangu mwaka wa 2 huu. Anajisahau kabisa.
Nikawa nasema kifuatacho sasa nitamwalika siku moja room aje amshike dada yake miguu nikimchabanga kwa style mpya ya KISHIKA UCHUMBA. Hapo nadhani angechoka kabisa kukaa home
Nimerudi juzi dada yake ananiambia Ommy karudi Tanga. Kaenda salimia wazazi. Nikajua tu zile actions zimefanya kazi.
Nlimvumilia sana mpaka nikaanza kuhisi pengine dada yake kaniwekea madawa niwe bwege. Nliaanza pote uume wangu kabisa. Sasa shwari kabisa hakuna kufuga ujinga.
Ila ungempa muongozo mkuu,wewe ndio kichwa cha familia,yeye kama yeye hana hiyo access anakutegemea wewe.Kabisa aiseee.... Miaka 2 mtu anakaa tu home hafanyi lolote.
Duh kumbe wasambaa ndio wako hivyo,au ndio wale wantengeneza kahawa kule jangwani kariakoo wanaishi watu 7 kwenye chumba kimojaUkioa msambaa jiandae ndugu wa mke watajaa sana nyumbani malapa yatajaa mlangoni kama msikitini
Jamaa kakosea sana. Haya maisha hayana mwenyewe. Kesho dogo anaweza kuwa kimbilio lake ila kwa hilo doa aliloweka inaweza kuwa ngumu hawa watu kuelewana maishani. Hakuna mwanaume anaweza kumsamehe mtu aliyemshika makalio.Njia ya kumfukuza mtu kwa kuutweza utu wake wewe unaona ni sahihi? Tena ni mwanaume mwenzie
😅😅😅😅😅😅Madogo hi wapumbavu! Halafu hapo ukute limetoka chuo kabisa na degree kichwani! Bahati yako uligoma kulipeleka chuo cha udereva hapo lilikuwa linavizia gari yako!
Uko sahihi mkuu.Hapana, elimu ya kujitambua kwa vijana wa sasa ni muhimu sana hasa kwa ndugu anayekuja kuishi kwako, haijalishi mke au wazazi wake wanalalamika vipi lakini mwisho wa siku mhusika ataona faida kwa sababu ataweza kujitegemea.
Vijana wa zama za sasa wanahitaji busta, unafanya tu kama msaada. Tafuta mchongo huyo! Tenda wema nenda zako!
Aisee unajua ni dharau ya hali ya juu kumshika kalio kaka wa shemeji yako!?Kama naliona li GuDume linavyopapasa kalio ya shemeji! Lakini hata kama angeenda kushitaki nyumbani kwao jamaa si lingejitetea kwamba lilikuwa linataniana na shemeji yake?
Hao ni WAHA wa Kigoma.Duh kumbe wasambaa ndio wako hivyo,au ndio wale wantengeneza kahawa kule jangwani kariakoo wanaishi watu 7 kwenye chumba kimoja
Na vipi wazigua pia wako hivyo?Hao ni WAHA wa Kigoma.
Sio hao tu makabila ya pwani ni mtihani hadi wadigo nao ni kama wapemba tu,ukioa umeoa ukoo mzima.
Tena naweza sema bora hata wasambaa.
Wazigua sio watu wa kutembea sana kwa ndugu ila ni watu wa husda sana na wivu wa maendeleo.Na vipi wazigua pia wako hivyo?
Kwa hiyo kwa mazingira hayo uchawi na kurogana havikosekani?Wazigua sio watu wa kutembea sana kwa ndugu ila ni watu wa husda sana na wivu wa maendeleo.
Hata kwa ndugu na ndugu.
Unashangaa Mbona watoto wa marehemu awapati huduma yoyote na wajomba zao wamekuwa matajiri! Kumbe Baba yako alikuwa mtu sio Nyau.fainali ni uzeeni