Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanajeshi akiwa uraiani ni raia kama raia wengine. Hana mamlaka yoyote uraiani. Mgambo na polisi jamii wana mamlaka uraiani kuliko wanajeshi.
usipojiheshimu nan atakuheshimu ? imefika muda wanajeshi mashinda kwenye bar za mataputapu, rudin kwenye njia kaz ya jeshi ni kuwapa heshima wananchi na sio kuabudiwa na wananchi , leo trh 28/10 mwanajeshi mmoja pale ukwaman nusu asabishe ajali kubwa tu anaongea na simu hajawasha indicator akataka kuchomokea upande wa pili wa barabaraTusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
jeshi letu limejaa form 4 failure , akili za kipanyaroad ndo zimetawala , wengi hawajui majukumu yaoTutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
hongera kwa kufafanua , hili jeshi limejaa form failure , inferiority ndo inawasumbuaNiulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?
Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.
Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?
Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.
Cc: Msanii
Jeshi letu limepungukiwa nidhamu hususan kupitia hili tukio ambapo tulidhani Kamanda Nkunda angekuwa ameshawazuia vijana wake wasiwasumbue raia.Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?
Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.
Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?
Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.
Cc: Msanii
Jeshi letu limepungukiwa nidhamu hususan kupitia hili tukio ambapo tulidhani Kamanda Nkunda angekuwa ameshawazuia vijana wake wasiwasumbue raia.
Kama Jeshi limeua raia inapaswa sasa tuwaombe ICC waje kuchunguza haya matukio kwani hakuna mahakama hapa nchini yenye chembe ya huruma kwa raia.
Mkuu Genta.
Kwa namna MP wanavyowatendea raia wa Kawe, ni waziri wa Ulinzi hatoshi
Kwa namna tukio lilivyoelezewa, hivyo basi unatuasa kuwa unaposhambuliwa na mwanajeshi kwa nia ya kukudhuru unapaswa kusimama wima na kuimba wimbo wa Taifa hadi amalize lengo lake?...Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana......
Kwani wahalifu ni mifugo?Kwanini wafuge wahalifu
Kujamba jamba hovyo ni dalili mbaya sana!Kesho naenda kambini hapo lugalo huku navuta bangi na kujambajamba hadharani maksudi mbele yao na matusi ya hatarii niking'aka.
Sasa ole wake kenge yoyote athubutu kunisogelea, wadau wote wataacha kufuatilia kinachoendelea huko Gaza kati ya Wateule na waarabu.
Kwa akili zako zote, unafikiri heshima inajengwa kwa kupiga watu?.Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Hamna kituTutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Nilikuwa sipati picha kamili kumbe vijana wanaona Mwanajeshi ni kijana mwenzao. Poleni kwa ujinga wenu.Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Yaan huyo dogo Kato ilibidi akatwe kiungo kimoja kimoja akiwa anajiona hadi anakata ROHO akawasimulie Malaika huko mbinguni, unyama unyama tukijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu
Ndio madhara ya wanajeshi kuishi uraiani ukishawazoea raia wote mnaonekana wa kawaida tu, mwanajeshi akae kambini huko sio anakuja kukaa na raia aende akakae maporini huko akajifiche kabisa asionekane na raia, dharau ndio zinaanzia hapo kuonekana onekana ovyo na raiaNilikuwa sipati picha kamili kumbe vijana wanaona Mwanajeshi ni kijana mwenzao. Poleni kwa ujinga wenu.
Utagongwa hadi ujinyee we jisifie ujinga tu humu usikutane nao live,Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Ndio maana mnapigwa,Kesho naenda kambini hapo lugalo huku navuta bangi na kujambajamba hadharani maksudi mbele yao na matusi ya hatarii niking'aka.
Sasa ole wake kenge yoyote athubutu kunisogelea, wadau wote wataacha kufuatilia kinachoendelea huko Gaza kati ya Wateule na waarabu.