Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

usipojiheshimu nan atakuheshimu ? imefika muda wanajeshi mashinda kwenye bar za mataputapu, rudin kwenye njia kaz ya jeshi ni kuwapa heshima wananchi na sio kuabudiwa na wananchi , leo trh 28/10 mwanajeshi mmoja pale ukwaman nusu asabishe ajali kubwa tu anaongea na simu hajawasha indicator akataka kuchomokea upande wa pili wa barabara
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
jeshi letu limejaa form 4 failure , akili za kipanyaroad ndo zimetawala , wengi hawajui majukumu yao
 
hongera kwa kufafanua , hili jeshi limejaa form failure , inferiority ndo inawasumbua
 
Jeshi letu limepungukiwa nidhamu hususan kupitia hili tukio ambapo tulidhani Kamanda Nkunda angekuwa ameshawazuia vijana wake wasiwasumbue raia.

Kama Jeshi limeua raia inapaswa sasa tuwaombe ICC waje kuchunguza haya matukio kwani hakuna mahakama hapa nchini yenye chembe ya huruma kwa raia.

Mkuu Genta.
Kwa namna MP wanavyowatendea raia wa Kawe, ni waziri wa Ulinzi hatoshi
 
Kwanini wafuge wahalifu
 
...Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana......
Kwa namna tukio lilivyoelezewa, hivyo basi unatuasa kuwa unaposhambuliwa na mwanajeshi kwa nia ya kukudhuru unapaswa kusimama wima na kuimba wimbo wa Taifa hadi amalize lengo lake?

Mwanajeshi gani ambaye amehitimu mafunzo anashindwa kukabiliana na raia outlaw anayemshambulia kwa kisu?

Mwanajeshi anapaswa kuwa na nidhamu. Ni kosa kubwa sana mwanajeshi kumshambulia raia kwa sababu yeyote ile.

Bwege sana wewe
 
Kujamba jamba hovyo ni dalili mbaya sana!
 
Nadhani tatizo linaanzia kwa wanajeshi wenyewe kwa maana zifuatazo:

1. Kunywa kupitiliza mtaani
2. Kuwakopa maboda na mabajaji
3. Nk nk

Kupitia mazoea haya usidhani kijana wa enzi hizi atamuogopa na kumheshimu wanajeshi hata kwa 1%


Nadhani aliyeweka bar kambini alimaanisha sana tena sana
 
Kwa akili zako zote, unafikiri heshima inajengwa kwa kupiga watu?.
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Hamna kitu
 
Nilikuwa sipati picha kamili kumbe vijana wanaona Mwanajeshi ni kijana mwenzao. Poleni kwa ujinga wenu.
 
kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu
Yaan huyo dogo Kato ilibidi akatwe kiungo kimoja kimoja akiwa anajiona hadi anakata ROHO akawasimulie Malaika huko mbinguni, unyama unyama tu
 
Nilikuwa sipati picha kamili kumbe vijana wanaona Mwanajeshi ni kijana mwenzao. Poleni kwa ujinga wenu.
Ndio madhara ya wanajeshi kuishi uraiani ukishawazoea raia wote mnaonekana wa kawaida tu, mwanajeshi akae kambini huko sio anakuja kukaa na raia aende akakae maporini huko akajifiche kabisa asionekane na raia, dharau ndio zinaanzia hapo kuonekana onekana ovyo na raia
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Utagongwa hadi ujinyee we jisifie ujinga tu humu usikutane nao live,
 
Ndio maana mnapigwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…