Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Nawapenda Sana wajeda mie.hawapendi ujinga ujinga
 
Unarejesha vipi heshima kwa kuvunja sheria? Ugomvi wa mitaani tena kwenye kumbi za starehe za raia ndiko wanajeshi wanatamani waheshimiwe wakati wenyewe hawajiheshimu?
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
We Msenche umeambiwa gari liliharibika tairi njiani katoka msenge mwenzio huko anakuja kumwambia kanali atoe gari anamziba njia kwa akili zako za kukata gogo ulitegemea kanali alibebe gari mgongoni aliweke pembeni? Acheni kutoa lawama za kisengesenge, wewe Msenche ungekua wewe ungelibeba gari uliweke pembeni ili mwali mmoja Mrembo apite?
 
Hio ndio inaitwa Chungu tamu kifo cha kanali ni furaha kwa raia Ila kifo cha wanawake wawili na kipigo wanachopokea raia ni uchungu kwa raia, yaleyale ya Israel na Palestina Israel kaanza kuchokozwa wajinga wakaanza kufurahia Israel karudisha mapigo wajinga wanaanza kulialia dunia nzima Moto anaopeleka Israel ni Moto haswa, Jeshi litabaki kua Jeshi
 
Shida jeshi letu halina kazi za kufanya, hivyo hutumia wananchi Kama sehemu ya kumaliza shida zao
Sahihi kabisa, hawana kazi ya kufanya matokeo yake ni kupika majungu kulewa na kulazimisha kuheshimiwa... Wapelekwe Gaza au Ukrainie wakalinde amani wakirudi watapata heshima.... Kenya, Rwanda na Uganda wanachangamkia sana kuingizwa kwenye peace missions na kuwatuma wanajeshi wao sehemu za machafuko... Sisi tunawafuga tu bila kuwa na kazi hadi kufikia kupiga raia....Jeshi Kama taasisi lidhibiti wanajeshi wake vinginevyo tukio la juzi linaashiria kuanza kulipa kisasi.
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Mkaldayo una mikwara mbuzi
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Upuz mtupu,nyie hamna shuguli za kufanya au

Ova
 
Ww ndio unasema hatoshi chagua wa kwako anaye tosha
 
Siunajua mwanajeshi ni raia kabla ya kuwa mwanajeshi, umeumiza jamii nzima aisee. Idiosyncrasy will really make one kill each other.
 
we boya tu labda hujui maana ya jeshi. eti iko siku. vijana vya siku hizi mipumbavu sana kila kitu kulalamika, ujuaji, hakuna adabu, mtafunzwa kwa nguvu.
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Nina uhakika ukiletewa komandoo mmoja tu kutoka ngerengere huwezi kupigana naye dakika zaidi ya mbili? Ila Kwa kuwa upo nyuma ya keyboard basi unatafuta umaarufu
 
Hapo hatosh Hadi mkuu WA kikosi from up to down

Then Hadi sasa haijulikan nn kinaendelea
 
Kuna mjinga na kuna mpumbavu chagua kimoja. Mwanamke mwenzako amekufa nitajie mjinga na mpumbavu hapo? I swear hii nchi ikiendelea sijui, watu wananyeyekeana sana. Mungu tusaidie tu.
kwa jeshi lazima unyenyekee we kima
 
jeshi letu limejaa form 4 failure , akili za kipanyaroad ndo zimetawala , wengi hawajui majukumu yao
we kenge unajua hata majukumu yako. Heshima jeshi hao ndio ultimatum ya nchi. Kiukweli hawawabembelezi tena nawashangaa hao wa Kawe ilitakiwa mshughulikiwe kisawasawa
 
Unarejesha vipi heshima kwa kuvunja sheria? Ugomvi wa mitaani tena kwenye kumbi za starehe za raia ndiko wanajeshi wanatamani waheshimiwe wakati wenyewe hawajiheshimu?
kwanza nani kakuambia wanahitaji heshima yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…